Kenya, Uganda na Rwanda kujinadi kiutalii kwa pamoja

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hapatakua tena na matangazo tofauti baina ya Kenya, Uganda na Rwanda. Vivutio vyote vya utalii ndani ya nchi husika vitaunganishwa na kutangazwa kwa pamoja. Sasa hii ukiongeza na visa ya pamoja, tunakokwenda kunafaa..

======================================

Regional neighbours Kenya, Uganda and Rwanda will soon begin marketing as one tourist destination, CS Najib Balala revealed on Wednesday.

Speaking during the opening of the 6th Magical Kenya Tourism Expo, Mr Balala said that the three East African countries had resolved to have a joint marketing strategy in order to attract more tourist arrivals.

"After three days of deliberations, we have agreed to market the region as one. Starting November, Kenya, Uganda and Rwanda will be marketing themselves with one stand," he said.

The move serves to complement the single entry visa that the countries have been marketing to tourists and whose uptake has been sluggish.

Before its launch in 2014, tourists required separate visas for each country visited, a process that discouraged visitors from extending their travel beyond the national borders of the country they were in.

Kenya, Uganda and Rwanda set for joint tourism marketing
 
Rwanda and Uganda wao wanavivutio gani kwa watalii

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Utalii hutegemea jinsi unavyojinadi na bidii yako, kuna nchi zinategemea beaches/fukwe pekee yake lakini wanapata watalii zaidi ya Tanzania yenye kila aina ya kivutio.
 
Utalii hutegemea jinsi unavyojinadi na bidii yako, kuna nchi zinategemea beaches/fukwe pekee yake lakini wanapata watalii zaidi ya Tanzania yenye kila aina ya kivutio.
Back to the point Rwanda and Uganda wao kuna nn hasa nikiwa loose niende nikaribu ....hope utalii wa Kenya hamna kipya vingi tunavyo

Back to my argument, ukiwa na bidii ya kujitangaza, unaweza pataa watalii wengi wanakuja kushangaa sokwe na ngendere zaidi ya mzembe mwenye kila kitu.
 
Back to my argument, ukiwa na bidii ya kujitangaza, unaweza pataa watalii wengi wanakuja kushangaa sokwe na ngendere zaidi ya mzembe mwenye kila kitu.
Mzembe ni wewe na u$&$&@ wako nyambafu kabisa! Kutwa kututukana kwa kipi tulichowakosea? Jibu hoja sio kuleta umbululazzzz mfyweeeee
 
Kwanini tanzania hatujaunganishwa kwenye hio project ya pamoja?
 
Utalii hutegemea jinsi unavyojinadi na bidii yako, kuna nchi zinategemea beaches/fukwe pekee yake lakini wanapata watalii zaidi ya Tanzania yenye kila aina ya kivutio.
Ni sawa kuwa juhudi ndio huzaa matunda na hili lipo Tanzania kwa uchache lakini jamaa amekuuliza vyema kwa maana katika ukanda huu ni Kenya na Tz ndo zenye misuli kiutalii

Na unavyojua kuwa utalii wa Tz ni northern circuit based which is like an extension of Kenyan southern circuit na ukiangalia kiuchumi ..huu muungano si wa faida kwetu

Mafahali wawili hawakai zizi moja
 
Kwanini tanzania hatujaunganishwa kwenye hio project ya pamoja?
Hatutaki hata kwa dawa saivi tunaimarisha aviation next year tutakua na Airbus na Boeing za direct flights from Europe America and Asia kuleta tourists oneway hakuna kushukia mahali ndio waingie Tanzania.

Wataalam wetu wamekaa tunategemea kudabo idadi as soon as possible.

[emoji817]
 
Hahaha nimeipenda hii, kwa maana ingawaje TZ yetu haitashiriki lkn nina uhakika zaidi ya theluthi mbili (2/3) ya Watalii watakaokuja ni lazima watafika pia TZ yetu na kutuletea fedha, kwa maana Mtalii hawezi kuja East Afrika bila ya kufika Zanzibar, akija Rwanda au Uganda atapenda kutumia fursa hiyo pia kufika Ngorongoro crater, akifika Kenya atapenda pia kupanda Ml.Kili na kuingia Serengeti ambapo ni lazima avuke boda kuingia TZ na hapo atatulipa visa fee yetu na 25% VAT atakapolala, hivyo ukiniuliza mimi kama ningekuwa Serikali ya TZ wala nisingetumia fedha nyingi kujitangaza kwa maana Afrika inatutangaza kwa namna moja au nyingine!

Fikiria tu Rwanda watatangaza nini bila ya kutaja Ml.Kili wetu?

TanZania yetu ni Mpango wa Mungu!
 
watawezana kweli hawa, I think there will only be coperation kwa exhibition hapo kwa stand.......
lakini ikija kwa advertisment nje ya hizo exhibition bado kila mtu atakua anavuta kwake,

manake ikiwa ni advertisment kila mahali, rwanda na Uganda hawatawezana na kulipia hio gharama, siai hata kwa BTR za wajerumani kule berlin utatupata

Sure even Tanzania we invest a lot on it

[emoji817]
 
Good idea
 
Back to my argument, ukiwa na bidii ya kujitangaza, unaweza pataa watalii wengi wanakuja kushangaa sokwe na ngendere zaidi ya mzembe mwenye kila kitu.
Boss I told you, unakumbuka ule utafiti??[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…