Kenya, Uganda na Rwanda kujinadi kiutalii kwa pamoja

Kenya, Uganda na Rwanda kujinadi kiutalii kwa pamoja

Utalii hutegemea jinsi unavyojinadi na bidii yako, kuna nchi zinategemea beaches/fukwe pekee yake lakini wanapata watalii zaidi ya Tanzania yenye kila aina ya kivutio.
Maneno ya mkosaji
 
Nani mkosaji hapa?.....kwa maana naona wenye "vivutio vingi"ni masikini wa kutupwa na hawazifaidi, wengine wanajifaidisha!

Nimejiuliza hilo swali pia ikabidi nimpuuzilie mbali huyo. Wao ndio wanaongoza Afrika kwa vivutio lakini cha ajabu wanahesabika kwenye idadi ya maskini wa kutupwa Afrika. Hii ni laana ya kiaina na wanafaa kusali sana.
 
Tim Choice, maskini lakini anapata watalii 1.3 mln plus revenue over $2 bln more than Kenya, Uganda n Rwanda combined!
 
Back
Top Bottom