Mwaka 2024, kampuni maarufu na inayoheshimika kimataifa katika tathmini za kiuchumi na uwezo wa kulipa madeni — Moody’s wameitaja Tanzania katika nafasi ya juu zaidi ukilinganisha na majirani zake wa Afrika Mashariki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya karibuni, Tanzania imepewa daraja la B1, ikimaanisha ina uwezo wa juu na wa kuaminika katika kuhudumia deni lake la Taifa.
Kwa mlinganisho:
Tathmini hii haijaibuka kwa bahati, bali ni matokeo ya hatua makini za kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan — zikiwemo usimamizi madhubuti wa matumizi ya serikali, ukusanyaji mapato kwa uwazi, na kudhibiti mikopo yenye masharti magumu.
Kwa mlinganisho:
- Kenya imeambulia daraja la B3,
- Rwanda na Uganda zimepewa daraja la B2.