Kenya: Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wadaiwa kupanga njama za kumuondoa Rais Ruto Madarakani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Dennis Itumbi, alikuwa Kampeni Meneja wa Rais William Ruto, amesema taarifa za Kiintelijensia kutoka kwa Maafisa wa Hustler Nation Intelligence Bureua (HNIB) zimeeleza kuwa Rais Mtaafu Uhuru Kenyatta amefanya Kikao maalum cha SIRI nyumbani kwa kiongozi wa Upinzani Raila Odinga.

IT IS SO DECLASSIFIED!




 

Attachments

  • 1688664093652.png
    64.9 KB · Views: 7
  • 1688664175307.png
    149.3 KB · Views: 9
mleta mada wafaa kujiuliza maswali kadhaa
1. sababu ya kumtoa ruto mamalakani ni gani?
2. uhuru na raila watamtoaje ruto mamlakani? (what options do they have)
3. Katiba ya kenya yasemaje kuhusu njia za kumbandua rais aliyekalia kiti?
Ukiweza kujibu haya maswali nishtue.
 


Wakenya wana hamu ya Damu, mtu kashinda kwa uchaguzi, kaapishwa, mahakama imepitisha, Raila anataka nini tena?
 
Uhuru bado anamchezea Raila.

Ashindwe kumzuia Ruto asiwe rais wakati akiwa madarakani ndio aje amtoe akiwa hana nguvu?
 
Sielewi wakenya wanataka nn hasa...Kila kitu kwao hawataki, hawapendi....so at the end of the day watabaki wanajichukia na kuanza kujiua wenyewe Kwa wenyewe. Haya maisha hayako sawa....expect no equality in this life, better love yourself,love your neighbor, never envy anyone....you will live better and happy. Just my advice to kenyans
 
Uhuru bado anamchezea Raila.

Ashindwe kumzuia Ruto asiwe rais wakati akiwa madarakani ndio aje amtoe akiwa hana nguvu?
Raila kazeeka na akili zake zimezeeka, akaona kuliko kuzeeka mwenyewe bora azeeshe na akili za wakenya wengine😀
 
We mujamaa!!

Kumnyang'anya police Bunduki ni gani!!?

Si unahakikisha hana pumzi ya kuvuta!!?

Au!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…