Kenya, ujinga gani huu mnavaa?

Kenya, ujinga gani huu mnavaa?

Status
Not open for further replies.
Huyo jamaa anaonekana kama kinyago vile, hivi kwani ni lazima avae hilo takataka kichwani? Na Je, asipovaa hawezi kuwa Jaji?

1440853.jpg
Yapo mengi ya kushangaa kuhusu wao ipo SGR inayotumia makaa ya mawe katika karne hii
 
Raisi wa wapi huyu...
sierra-leonean-judges-attend-inauguration-of-president-bai-koroma.jpg

Conference in Accra.
unnamed%2B(10).jpg

... Speaker of EALA, Rt. Hon Margaret Nantongo Zziwa leads the procession out of the Chamber as the Speaker of Parliament of Tanzania, Rt. Hon Anna Makinda ...
 
Hiyo sijui ndio kofia za wanaohitimu uhakimu, otherwise hayo ni mawigi yanayofanana na nywele za wazungu wa kipindi kile waliokuwa wanadeal na hizi masuala. Sasa si unajua vile waafrica tumekuwa spiritually, mentally and physically enslaved. Ndio matokeo hayo

Kwani unadhani wazungu hawavai hizo wig? Kuna tatizo gani majaji wetu wakivaa hizo wig? Mimi sioni tatizo lolote
 
Hakuna Mtanzania anayevaa huyo ujinga kichwani, na siyo Watanzania tu hata Wazungu wenyewe (commonwealth) ukiondoa Waingereza hawaivai hiyo takataka!

Majoho wanaruhusiwa kuvaa? Kwa nini wasivae watakavyo?
 
Mleta mada ni mshamba wa legal system ya east Africa ambayo kwa wingi ilichukua prectice na procedure zote za wakoloni wa mwisho waliotutawala ( waingereza) common law rejea Tanganyika order in council 1920 reception clause
 
Kwani unadhani wazungu hawavai hizo wig? Kuna tatizo gani majaji wetu wakivaa hizo wig? Mimi sioni tatizo lolote

Wazungu hawavai isipokua Uingereza shauri ya utamaduni wao lkn Wazungu wote wa commonwealth kuanzia Australia, NZ, Kanada au hata AK hawavai huo upuuzi, sasa kwa nini Wazungu hawavai wkt hata wana uhusiano wa Damu na Uingereza?
 
Mleta mada ni mshamba wa legal system ya east Africa ambayo kwa wingi ilichukua prectice na procedure zote za wakoloni wa mwisho waliotutawala ( waingereza) common law rejea Tanganyika order in council 1920 reception clause

Kwa nini Australia, Kanada, NZ, AK, India au hata USA wote wanatumia British common law hawavai huo ujinga?
 
Mbona hakuna mwingine anayevaa hilo taulo isipokuwa Uingereza na Waafrika weusi tu? Hakuna Mzungu anayevaa hilo dude hata kwenye hiyo link uliyoweka ni Waafrika weusi tu!

New Zealand n.a. Hong Kong bado wanavaa
 
Huyo jamaa anaonekana kama kinyago vile, hivi kwani ni lazima avae hilo takataka kichwani? Na Je, asipovaa hawezi kuwa Jaji?

1440853.jpg
mijadala bungeni haiwezi fanyika bila hichi kitu, naona tanxania mnatumia kile kile mlicho achiwa na mkoloni hata hamjageuza, naona hata iko na crown ya malkia, halafu bado mnatumia katiba mliopewa na mkoloni 1961 , alafu uko na mshipa wa kutuita wajinga...po!

spika.jpg

kweli nyani haoni kundule
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom