Yapo mengi ya kushangaa kuhusu wao ipo SGR inayotumia makaa ya mawe katika karne hiiHuyo jamaa anaonekana kama kinyago vile, hivi kwani ni lazima avae hilo takataka kichwani? Na Je, asipovaa hawezi kuwa Jaji?
Raisi wa wapi huyu...
Hiyo sijui ndio kofia za wanaohitimu uhakimu, otherwise hayo ni mawigi yanayofanana na nywele za wazungu wa kipindi kile waliokuwa wanadeal na hizi masuala. Sasa si unajua vile waafrica tumekuwa spiritually, mentally and physically enslaved. Ndio matokeo hayo
Hakuna Mtanzania anayevaa huyo ujinga kichwani, na siyo Watanzania tu hata Wazungu wenyewe (commonwealth) ukiondoa Waingereza hawaivai hiyo takataka!
Kwani unadhani wazungu hawavai hizo wig? Kuna tatizo gani majaji wetu wakivaa hizo wig? Mimi sioni tatizo lolote
Mleta mada ni mshamba wa legal system ya east Africa ambayo kwa wingi ilichukua prectice na procedure zote za wakoloni wa mwisho waliotutawala ( waingereza) common law rejea Tanganyika order in council 1920 reception clause
Kwa nini Australia, Kanada, NZ, AK, India au hata USA wote wanatumia British common law hawavai huo ujinga?
Mbona hakuna mwingine anayevaa hilo taulo isipokuwa Uingereza na Waafrika weusi tu? Hakuna Mzungu anayevaa hilo dude hata kwenye hiyo link uliyoweka ni Waafrika weusi tu!
mijadala bungeni haiwezi fanyika bila hichi kitu, naona tanxania mnatumia kile kile mlicho achiwa na mkoloni hata hamjageuza, naona hata iko na crown ya malkia, halafu bado mnatumia katiba mliopewa na mkoloni 1961 , alafu uko na mshipa wa kutuita wajinga...po!Huyo jamaa anaonekana kama kinyago vile, hivi kwani ni lazima avae hilo takataka kichwani? Na Je, asipovaa hawezi kuwa Jaji?