Kenya: Umoja ni fahari yetu

Kenya: Umoja ni fahari yetu

willyTrinidad

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
441
Reaction score
455
Undugu ndio nguvu. Tuungane, tuijenge nchi.

Caption this photo:

CFEF3DED-279B-4F2B-8516-B5E7581FCA69.jpeg
 
Muache tabia ya kuwatukuza wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi, iko kwenye blood, iko kwenye mizizi, ni jinsi wanavyoishi, wanamshukuru Muzungu kwa kuwajali wakenya, wanakimbiakimbia deile foreign wakiomba wasisahauliwe kuwa wapo bado wanaexist na wanahitaji wahesabike katika ile community ya modern slaves.

Kinyanz are blessed with a most submissive slavery mindset brain. God bless kenyans, God bless Muzungu! [emoji23][emoji23]

modern-day slavery unaijua ama unakurupuka tu?
 
Badala ya kuona jaji jasiri nyi watu wa akili duni mnaona mzungu.
David Maraga, ambaye aligeuza uchaguzi wa uhuru ako kando kwa kando na Uhuru, bila chuki.
David Maraga, alipata umaarufu kote duniani baada kufanya uamuzi wa kihistoria. Am sure hata huko Uiengereza wanamtambua
 
Yaani hiyo yote umetaja hapo juu mazwazwa bado hatawatashika chochote. Kwa hao waafrica wote wao macho na akili yote imeona tuu mzungu pekee. Sasa ni nani amezinguliwa na jazba za kikoloni isipokuwa wao?. Mfano mzuri ni Mseveni na vile anavyo muangaisha Bobi ambaye hajafanya lolote. Je swali ni, ingekuwa Bobi wine ndiye jaji na kisha atupilie ushindi wa Museveni angemfanya? Nathani mhimili mzima wa sheria ungetokomezwa mbali kama tambara mbovu.
 
Back
Top Bottom