Tetesi: Kenya v Somalia: Ma waziri wa somalia wakataliwa kuingia kenya

IMG_20190521_195144_950.jpg

Actually we are using divide and rule.Kenya and Uganda are now recognizing Somaliland as an independent state .
 
Attachments

  • IMG_20190521_183039_187.jpg
    IMG_20190521_183039_187.jpg
    63.3 KB · Views: 14
(QUOTE="kennedy0000, post: 31541861, member: 81155"]
You know nothing about foreign policy.
Kenya is not Somalia's punching bag. Tutawakataza kuingia, na hizi nyumba zao za kifahari Nairobi, na biashara zao Eastleigh wazisahau.
Then we'll see who will blink first on the maritime border dispute.
[/QUOTE]
IMG_20190521_183012_124.jpg

Watajua hawajui
 
Hahaa...We know that there was a forum where Tanzania and Somalia were discussing 'shared' borders in the Indian Ocean
Hizi ndo stori mnazopiga maskani hapo kariobangi huku mnasaga gomba.
 
The funny thing is those from Somaliland flew directly from hargeisa to Kenya Nairobi with their SL passports while Somalian ministers were told to https://jamii.app/JFUserGuide off and are still stranded at the Airport
 
Subirini kisasi chao, hakuna watu wenye kisasi duniani zaidi ya Wasomali. Wakenya wanajifanya vichwa maji wakati ndani ya cabinet yao kuna Wasomali. Robo ya wananchi wao ni Wasomali.

Yetu macho na masikio.
1/4 * 45,000,000 Hivi Kenya ina Wasomali zaidi ya milioni kumi🤔
 
Mh mama umeongea mambo mazito na ya kuogofya
 
1/4 * 45,000,000 Hivi Kenya ina Wasomali zaidi ya milioni kumi🤔
Soma.

Jumlisha jamii za Wasomali, Wabaajuni, Wabarawa, Waborana kisha uje na jumla. Wotr hao ni wenye asili ya Kisomali.

Northern Kenya yote ni jamii hiyo mbali ya wakimbizi wa kutoka Somalia.

Kama kuna sehemu yenye population kubwa Nairobi basi ni Islii (Eastleigh). Nenda kaone nu akina nani waliojazana hapo.

Mbali ya hao, chukulia na Waislam kama si wote basi 90% wanawaunga mkono Wasomali.

Huwa sikisii.
 
Wabajuni ni Bantu lakini wamemix na waarabu, wasomali nk, coastal people
Waborana ni subethnic ya Oromo people. Oromo ndilo kabila kubwa Ethiopia, so Borana si wasomali ni waOromo.
Sijawai waskia wabarawa
 
According to the 2009 census nikupe idadi:The largest native ethnic groups were the Kikuyu (6,622,576), Luhya (5,338,666), Kalenjin (4,967,328), Luo (4,044,440), Kamba (3,893,157), Kisii (2,205,669), Somalis (2,385,572), Mijikenda (1,960,574), Meru (1,658,108), Turkana (988,592), and Maasai (841,622).

Eastleigh tena,that's a business centre idadi kubwa ya Wasomali wanaishi mitaa kama South B na C, Fedha, Tena, Imara Daima,Komarocks and a few parts of Savanna Donholm.
 
K

Kwa figures hizo ndiyo umezidi kuthibitisha kuwa Wasomali ni zaidi ya million 10. Kuwa na Wasomali million mbili ni sawa na kuwa na Wasomali million 20, kumbuka hilo. ID moja kwa Msomali hutumiwa na Wasomali 10.

Cheza na Wasomali wewe.
 
Wabajuni ni Bantu lakini wamemix na waarabu, wasomali nk, coastal people
Waborana ni subethnic ya Oromo people. Oromo ndilo kabila kubwa Ethiopia, so Borana si wasomali ni waOromo.
Sijawai waskia wabarawa
Wote hao wanatokea Somalia wapo hata Wayemen Wasomali. Siongelei ethnicity naongelea identification.
 
Back
Top Bottom