Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mchezo wa pili wa kufuzu michuano ya CHAN kati ya #Tanzania na #Kenya unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni katika uwanja wa Kasarani, Kenya‬

Kaimu Kocha Mkuu wa ‘#TaifaStars’ Etienne Ndayiragije amechagua kikosi kifuatacho kuanza mchezo huo‬

 
Niache kuangalia liverpool na man city nikahangaike na ccm v/s kenya? Au Yanga v/s kariobangi?. Sijiheshimu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…