Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ipo live wewe unasema saa 11 upo chato au
Sio Azam Mkuu??ZBC wassse.nge kweli Qummamae Zao.
Huu ni utapeli,Hawa azam wanatutania inafaa kuwashtaki wanatangaza lipia king’amuzi tumelipa afcon hatukuona na hii pia hatuoni
Muwe mnatupa updates!0-0 Second half.Kick second half@1702EAT
Nani kashinda?
Bila bila
Ndo umeandika nini
Nani kashinda?
Tz tumeshinda 2Itakuwa Kenya!
dakika ya 90 bila bilaTupeni matokeo acheni bla bla
Tupeni matokeo acheni bla bla
Ko inakuaje sasa