Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

Hawa azam wanatutania inafaa kuwashtaki wanatangaza lipia king’amuzi tumelipa afcon hatukuona na hii pia hatuoni
 
Hawa azam wanatutania inafaa kuwashtaki wanatangaza lipia king’amuzi tumelipa afcon hatukuona na hii pia hatuoni
Huu ni utapeli,
Wezi Sana hawa jamaa. Hata AFCON walitapeli watu hivi hivi
 
Usikute dstv wamewazidi akili kwa mara nyingine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…