Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Upuuzi mtupu.Nafikiri mmejifunza sasa ...mkome kabisa husisha misisiem na soka. Si mwaona tumeshinda !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi mtupu.Nafikiri mmejifunza sasa ...mkome kabisa husisha misisiem na soka. Si mwaona tumeshinda !!
Kaokoa michomo kibao na pia kacheza penati.Kwani kafanyeje!!!??
Ha ha ha, leo naona makamanda wamekuwa wapole ghafla.Ikipata matokeo inaitwa TAIFA STARS,ila ikifungwa inakuwa na jina jingine.
BAK kama yule RC aliyesema wakati ule eti Stars ina tekeleza Sera za ccm hakika tungebugizwa Leo.4-1 Taifa Stars
Analeta roho ya kichawi kwenye timu ya taifaNa kweli kichwa cha wakenya kimenyolewa.
Unalazimisha?Somo mmelipata .
Mkome .
Wanaoharibu na kubadili majina ,ni Lumumba hawajawahi kuleta matokeo chanya zaidi ya hasi kila wanapokanyagaIkipata matokeo inaitwa TAIFA STARS,ila ikifungwa inakuwa na jina jingine.
Yu
Yule Dogo wa Azam yuko wapi?Mudathir au amenunuliwa nje ya nchi?
Nimeona kwenye page ya Azam kapelekwa south africa kwa matibabuYule Jamaa aliumwa (not injury) akaondolewa kambini