Kenya: Vifo vya wagonjwa wa #covid19 vyafika 14

Kenya: Vifo vya wagonjwa wa #covid19 vyafika 14

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Watu 8 zaidi wathibitika kuwa na #CoronaVirus nchini Kenya na kufanya idadi ya visa kuripotiwa nchini humo kufikia 270

Pia wizara imetangaza vifo viwili zaidi vya wagonjwa wa #CoronaVirus na kufanya idadi ya vifo hadi sasa kufikia 14


Watu hao 8 waliotangazwa leo kuwa na virusi, 7 kati yao nii wakenya na mmoja ni raia wa kigeni. Hakuna kati yao mwenye historia ya kusafiri safirI

Aidha watu 7 wameripotiwa kupona na kuruhusiwa hiyo inafanya idadi ya waliopona kufikia 67
===
Eight more patients have tested positive for COVID-19 in Kenya raising the total number of coronavirus cases in the country to 270.

At the same time, two more patients have succumbed to COVID-19 bringing the number of fatalities to 14.

Ministry of Health Chief Administrative Secretary Dr. Mercy Mwangangi in a press briefing on Sunday said the eight new patients include 7 Kenyans and one foreigner who are aged between 17-65 years.

According to the Health Ministry, none of the eight persons had a history of travel.

“Three emanated from our quarantine centres and five were picked by our surveillance teams from various parts of the country,” said Dr. Mwangangi.

Four of the patients are from Mombasa, three Nairobi and one from Kajiado.

Dr. Mwangangi also announced that seven more patients had been discharged after recovering from the virus bringing the total number of recoveries in Kenya to 67.

She also announced that out of the 270 infections, 56% of them are imported cases while 46% are from local transmission.
 
Back
Top Bottom