Kenya: Vijana wengi huambukizwa UKIMWI ambapo vijana 22 hupata ugonjwa huo kila siku na 6 hufariki kila siku kwa ugonjwa huo

Nimekuuliza 1.6 millions kwa population ya Kenya na 1.4 millions kwa population ya Tz wapi hufa wengi???
kabla ni jibu, hebu nikuulize, Kukiwa na shule ya wanafunzi 1000 kenya,na kuwe na shule ya wanafunzi 500 Tanzania... alafu wote wafanye mtihani

Shule ya Kenya, wanafunzi 500 wapate A, wakati shule ya Tanzania wanafunzi 400 wapate A..... Ni nchi/shule gani utasema ina mfumo bora wa Elimu??????

-----------

Sasa ukipata jibu kutoka kwa huo mfano, sasa wacha ni jibu swali lako, ndio, wakenya wengi zaidi wako na ugonjwa, ndio nambari kubwa zaidi ya wakenya wanakufa, lakini ukiangalia interms of percentage, ni % kubwa ya watanzania wanaokufa kutokana na ukimwi kumaanisha watanzania wengi walio na ugonjwa hawali vidonge wala kupata lishe bora...
 
Unaji confuse sana kapige hesabu vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…