Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
kabla ni jibu, hebu nikuulize, Kukiwa na shule ya wanafunzi 1000 kenya,na kuwe na shule ya wanafunzi 500 Tanzania... alafu wote wafanye mtihaniNimekuuliza 1.6 millions kwa population ya Kenya na 1.4 millions kwa population ya Tz wapi hufa wengi???
Shule ya Kenya, wanafunzi 500 wapate A, wakati shule ya Tanzania wanafunzi 400 wapate A..... Ni nchi/shule gani utasema ina mfumo bora wa Elimu??????
-----------
Sasa ukipata jibu kutoka kwa huo mfano, sasa wacha ni jibu swali lako, ndio, wakenya wengi zaidi wako na ugonjwa, ndio nambari kubwa zaidi ya wakenya wanakufa, lakini ukiangalia interms of percentage, ni % kubwa ya watanzania wanaokufa kutokana na ukimwi kumaanisha watanzania wengi walio na ugonjwa hawali vidonge wala kupata lishe bora...