Kenya: Visa vya Corona vyaongezeka na kufikia 582. Serikali yatangaza kufunga Eastleigh na Old Town

Kenya: Visa vya Corona vyaongezeka na kufikia 582. Serikali yatangaza kufunga Eastleigh na Old Town

Makonda mtoto wa town Tu, humuwezi
Lockdown imesaidia pakubwa sana maana tulikusudia kuwa na maambukizi 10,000 kufikia mwishoni mwa April.
Japo inawezekana hiyo idadi tumeifikia mitaani na ndio maana tunapima kwa mkupuo ili kila mtu ajue hali yake asije akatema mbegu.
Vipi Tanzania masaa 24 aliyotoa Makonda yanaelekea kuisha, atawakamata wabunge kama anavyofanya kwa machangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlikusudia? Meaning you targeted

Ingawaje naunga mkono lockdown, nataka kukufahamisha WHO ilitabiri hundred thousands ya wagonjwa Afrika na vifo vya maelfu, hata Tanzania ilitabiriwa kuwa na mamia ya maelfu ya wagonjwa ifikapo mwezi huu, lakini yote yamekuwa matabiri ya uongo. Hata hivyo Korona ndiyo kwanza imeanz Afrika, hivyo tusiseme mengi.
 
Today we have 47 confirmed cases of COVID-19 bringing the total to 581.

32 are from Mombasa, 11 from Nairobi, 2 from Mombasa, 1 from Kiambu...

We have lost 2 people in Mombasa bringing the total to 26.

Kenya mnajielewa. Tanzania uongouongo umefika papaya. Sasa wanakufa viongozi serikalini na utani umekata. Walidhani watakufa walalahoi pekee. Wiki ya pili sasa hakuna updates huku viongozi wakipukutika na wengine wakijifungia huko chattle. Dude hili halitaki uhuni wa kisiasa. Updates pekee ni za eti papai, fenesi na mbuzi nao wana corona!!!!!!
 
Tanzania wapo likizo sasa ianingia wiki 3 hakuna update yeyote ni nenda rudi tu, tumeambiwa mashine zimeingia damu ya mbuzi hazina majibu mazuri
 
Magufuli stopped testing in Tanzania. Just saying

Evidence(s)?

Stop chasing the wind -- your leaders are the dumbest in the region.

Having taken so many western approaches, (such as: mass testing, curfew) the cases of Corona are supposed to be submerging by now.

When peoples of the world are now opening their economies, the ugliest and the dumbest in Africa are now locking down their shanty towns.
 
Tanzania wapo likizo sasa ianingia wiki 3 hakuna update yeyote ni nenda rudi tu, tumeambiwa mashine zimeingia damu ya mbuzi hazina majibu mazuri
3 weeks now with no updates and some idiots are already celebrating Kenya's numbers. Ngoja watoe list ya 1000 new cases ndio watanyamaza.
 
Back
Top Bottom