Lockdown imesaidia pakubwa sana maana tulikusudia kuwa na maambukizi 10,000 kufikia mwishoni mwa April.
Japo inawezekana hiyo idadi tumeifikia mitaani na ndio maana tunapima kwa mkupuo ili kila mtu ajue hali yake asije akatema mbegu.
Vipi Tanzania masaa 24 aliyotoa Makonda yanaelekea kuisha, atawakamata wabunge kama anavyofanya kwa machangu.

Ingawaje naunga mkono lockdown, nataka kukufahamisha WHO ilitabiri hundred thousands ya wagonjwa Afrika na vifo vya maelfu, hata Tanzania ilitabiriwa kuwa na mamia ya maelfu ya wagonjwa ifikapo mwezi huu, lakini yote yamekuwa matabiri ya uongo. Hata hivyo Korona ndiyo kwanza imeanz Afrika, hivyo tusiseme mengi.Lockdown imesaidia pakubwa sana maana tulikusudia kuwa na maambukizi 10,000 kufikia mwishoni mwa April.
Japo inawezekana hiyo idadi tumeifikia mitaani na ndio maana tunapima kwa mkupuo ili kila mtu ajue hali yake asije akatema mbegu.
Vipi Tanzania masaa 24 aliyotoa Makonda yanaelekea kuisha, atawakamata wabunge kama anavyofanya kwa machangu.
Today we have 47 confirmed cases of COVID-19 bringing the total to 581.
32 are from Mombasa, 11 from Nairobi, 2 from Mombasa, 1 from Kiambu...
We have lost 2 people in Mombasa bringing the total to 26.
Magufuli stopped testing in Tanzania. Just saying
3 weeks now with no updates and some idiots are already celebrating Kenya's numbers. Ngoja watoe list ya 1000 new cases ndio watanyamaza.Tanzania wapo likizo sasa ianingia wiki 3 hakuna update yeyote ni nenda rudi tu, tumeambiwa mashine zimeingia damu ya mbuzi hazina majibu mazuri