Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

Kenya vs Ethiopia

Kenya vs Tanzania

Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
Usilinganishe nchi ya ovyo na Tanzania hasa ukiangalia kijeshi hujiulizi kwanini Tanzania ni nchi pekee stable afrika mashariki na kati alafu unatumia data za mitandaoni kulinganisha nguvu za majeshi unaakili kweli?
 
Tanzania sioni wa kufanana na sisi kwenye nguvu za kijeshi afrika mashariki na kati ndo sababu huoni tukivamiwa na magaidi au nchi yoyote
 
Kama hawa wanauwezo wa kuwauwa ovyo wanajeshi wa Tanzania si wageshaingia tayari Tanzania? Alafu wewe reference yako ni huyu unaakili kweli?
There are clips doing rounds on social media on the recent see events in Kitaya which resulted in the death of 20 civilians & 2 soldiers.
 
Ethiopia si uwa wanawatwanga ndo maana mnawaheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…