Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

Najua Tanzania wanahabari wako mfukoni mwa mtu mmoja anajiita magufuli.
Ndo maana hampati hizi news
Mpelekee Mnywa chang'aa
Hiyo Habari
Maana Ww umeona ndio Habari Humu jf
Watu wanakupuuza tu Huyo mtu Tunamjua sisi Watanzania Kwahiyo kama ww umeona ndio chanzo chako pole sana
 
Screenshot_20201017-080659.jpg
 
Mpelekee Mnywa chang'aa
Hiyo Habari
Maana Ww umeona ndio Habari Humu jf
Watu wanakupuuza tu Huyo mtu Tunamjua sisi Watanzania Kwahiyo kama ww umeona ndio chanzo chako pole sana
Unatuletea Taarifa kutoka kwa Mjinga bila kuwa na Uhakika
Jitambue wewe
Siamini kwamba wewe ambaye ulikuwa unaunga mkono ugaidi hivi majuzi na kufarahia ukisikia hata fununu tu ya shambulizi lolote nchini Kenya, ndio unakana vikali habari hizi za shambulizi la ISIS kule Mtwara. Tulijaribu kuwaelimisha humu kwamba ugaidi ni tatizo ambalo ni 'global' na linahitaji nguvu za pamoja kuliangamiza. Ila mkasema kwamba 'moto' wenu wa kijihadi hautafifia na kwamba lazima muangamize manyang'au. Poleni sana jombaa, ila kukana na kusema kwamba ni uongo sio suluhisho la kudumu. Tanzania border village attack 'leaves 20 dead' - BBC
 
Usilinganishe nchi ya ovyo na Tanzania hasa ukiangalia kijeshi hujiulizi kwanini Tanzania ni nchi pekee stable afrika mashariki na kati alafu unatumia data za mitandaoni kulinganisha nguvu za majeshi unaakili kweli?
Tz is stable because ya ushamba wa raiya wake, on average wengi wako na low exposure, mumekaliwa kishenzi na kulishwa propaganda hadi basi, ukarimu wa kinafiki na umbeya wa kike is your definition😂😂 it is called false peace and stability. Siku ile raiya wataamka ndio tutajua mbivu na mbichi, kwa sasa nikuimba ccm na mukulu wakati maendeleo kwa mtu binafsi ni kizungumkuti😂😂
 
Tanzania sioni wa kufanana na sisi kwenye nguvu za kijeshi afrika mashariki na kati ndo sababu huoni tukivamiwa na magaidi au nchi yoyote
Dar ni nyumbani kwa magaidi mbona waichome? Hauna taarifa! Al Shabaab financiers wengi wanatokea Dar., kati ya magaidi walio uwa wanafunzi Garisa kuna wenye walitokea Tanzania! Wale waarabu na ma sheikh wa Dar wapumbavu wanajulikana fala wewe. Dar imejaa giza!
 
Ama kweli ww mlevi.
Hao magaidi waloingia mtwara wametokea Msumbiji na JWTZ wameshawasili uliza kilichowapata hao magaidi hawanusi tena ardhi ya Tanzania.
Unlike Kenya alshabab wanaingia na kutoka kama choo cha stendi.
Na kupata vifo au majeruhi ktk mashambulizi ni kawaida.
Hiyo USA kipindi inampiga Farah Aidid Somalia imepoteza mamia ya wanajeshi sembuse sisi Ishirini????
Linganisha hali ya amani ya Tanzania na Kenya zinafanana???
 
Dar ni nyumbani kwa magaidi mbona waichome? Hauna taarifa! Al Shabaab financiers wengi wanatokea Dar., kati ya magaidi walio uwa wanafunzi Garisa kuna wenye walitokea Tanzania! Wale waarqbu na ma sheikh wa Dar wapumbavu wanajulikana fala wewe. Dar imejaa giza!
Leta ushahidi usibwabwaje km umekunywa pombe ya asili.
 
Leta ushahidi usibwabwaje km umekunywa pombe ya asili.
yaani una resopond leo hii?.., hauna copy? terrorist sympathizers and financiers wanatokea Dar es salaam na Mombasa kwa wingi, liko wazi sana.., fanya utafiti wacha uzembe wewe.., anything that involves religion is an itchy zone, very emotive issue, better tuyaache hayo., wewe fanya utafiti kivyako..,
 
Muheshimiwa nipe ushahidi wa tafiti zako.
 
Najua Tanzania wanahabari wako mfukoni mwa mtu mmoja anajiita magufuli.
Ndo maana hampati hizi news
Mwanajeshi au askari kufa ni kawaida hao ni binadam sio maroboti.
Hiyo USA yenye jeshi imara wanajeshi wake huvamiwa na kuuliwa sembuse Tz!
Hiyo ni ajali kazini.
Ila je kuna nchi iliyoko stable na yenye amani Afrika kuzidi Tanzania??
Kama kweli ww una akili jibu ushalipata
 
Tz is stable because ya ushamba wa raiya wake, on average wengi wako na low exposure, mumekaliwa kishenzi na kulishwa propaganda hadi basi, ukarimu wa kinafiki na umbeya wa kike is your definition😂😂 it is called false peace and stability. Siku ile raiya wataamka ndio tutajua mbivu na mbichi, kwa sasa nikuimba ccm na mukulu wakati maendeleo kwa mtu binafsi ni kizungumkuti😂😂
Tz hatuna cha kutufanya tupigane au tuanzishe vurugu.
Hakuna ukabila,udini wala kujuana.
Kama maisha unayatafta yanaenda km unazungumzia kuhusu vyeo vy kisiasa siye hatushughuliki nako maana cha msingi amani iwepo tuutafute ugali tule basi.
EMBU WE SEMA LINI UMEONA TZ KUNA MAUAJI YA KIMBALI AU KUNA VURUGU ZA KIKABILA NA MENGINEYO KM KENYA?
 
[emoji23][emoji23]View attachment 1602612
Haya ni mazoezi ya kuweka mwili uwe fit kwa 100% . Hata navy seals na delta force wanafanya .
Hapana chezea komando wa Tanzania , USA wenyewe wakitembekea wanakubali .
Vigaidi Vikija vinakalishwa chini
 
Back
Top Bottom