Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Rais wa he Korea Advanced Institute of Science and Technology (KAIST) alialikwa juzi aje atoe maoni na mawaidha kuhusu ndoto ya KenyaVision2030 ya kuanzisha shule kama hio ya kufanya utafiti wa sayansi na technologia ili kuunda bidhaa zitakazoleta viwanda hapa kenya....
Mojawepo ya kilichoonyeshwa kwa mkutano huo ni hii picha inayoonyesha kuna wakati flani uchumi ya Kenya ulikua mkubwa kushinda Uchumi wa Korea, sahii 2019 ukijaribu kulinganisha Kenya Vs South Korea utacheka hadi ufe!!! What a waste of a generation!!!!
Angalia hii graph
1967 Kenya GDP/capita -- $95
1967 Korea GDP/Capita -- $94
2017 Kenya GDP/Capita -- $1,595
2017 South Korea GDP/Capita -- $10,721
Kenya is the pink/purple Line! South Korea is the green line
Alafu bado hadi leo tunashindana kwa mambo ya ukabila na siasa za kijinga sijui Ruto 2022, mara sijui Raila mara sijui Joho blah blah blah nyingi ... kila siku tukiendelea kupiga siasa watu wanasonga mbele kimaendeleo... Kampuni kubwa kama Samsung ni product ya KAIST, sisi kenya tuna nini kama hicho ambacho ni chetu 100%???