Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
- Thread starter
-
- #41
Coz hao wazungu na hao wahindi na waharabu wakenya hawatuui huku na mabom bure,simple hakuna kitu mbaya ka kuchukua maisha ya mtuSasa hao wazungu wakenya wanaokufundisha kuzungumza kiingereza mbona unawakubali?
Imekula kwako hiyo. Na mtalipuliwa na hao wakenya wenzenu hadi jasho liwatoke.Coz hao wazungu na hao wahindi na waharabu wakenya hawatuui huku na mabom bure,simple hakuna kitu mbaya ka kuchukua maisha ya mtu
Wakenya wagani?those a somalis doin this n those pple who bomb a place nani huwa amewatuma?certainly not a kenyan they have orders from a somali somewhere in somaliImekula kwako hiyo. Na mtalipuliwa na hao wakenya wenzenu hadi jasho liwatoke.
Hao ni wakenya wewe, utake usitake. Habari ndio hiyo.Wakenya wagani?those a somalis doin this n those pple who bomb a place nani huwa amewatuma?certainly not a kenyan they have orders from a somali somewhere in somali
nyi huwa wamama,every dog has its own day,thank God atleast sai kdf na kenyans wanajua what vita is n how to tackle it,so thats a good thing its make our army stronger,we shinda hapo,N for your info terrorists can attack any country ka UK na US zina attackiwa sasa what is tanzania really!!!Tz is a sovereign state,non aligned...we dont wana mess up wit them folks,alshabab n eish ...u deal with what u started
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshangaaa loSasa hao wazungu wakenya wanaokufundisha kuzungumza kiingereza koko mbona unawakubali. Garisa ipo Kenya au Somalia?
Kuna wasomali waliuawa juzi kwenye shambulio pale hotelini unataka kusemaje?Coz hao wazungu na hao wahindi na waharabu wakenya hawatuui huku na mabom bure,simple hakuna kitu mbaya ka kuchukua maisha ya mtu
That was a thing of wrong plave at the wrong time,watu 99%hapo hawakuwa muslim walikuwa christians na hindus juu wahindi wengi pia walikuwa huko juu ni westlands sasa hao wasomali siku yao ndo ilikuwa mbaya ,n mbna wajali bora waliuwa christians kenyans mia mbna wajali about wasomali wawili,pliz ka we si mkenya usiongee juu haujui kitu,unaamini kila kitu unaskia kwa newsKuna wasomali waliuawa juzi kwenye shambulio pale hotelini unataka kusemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kushangaa
hahah ziiNdugu zenu hao
Makosa ya Wakoloni baadhi ya sehemu zingebaki Somaliahahah zii
Hahaha lakinini somalia bdo ni kubwa sana hata bila north east part,na btw part tu ndogo ndo yao coz hio ingine tumeborder ethiopia,pia tunaeza kasirika tuwapee n tuwafukuze wote kenya waenda kwao[emoji1] lakini somaliland ikipatabindependence vizuri watarudi wenyewe bila kuambiwaMakosa ya Wakoloni baadhi ya sehemu zingebaki Somalia