Kenya vs Somali(walipatia wakenya order sijui ya masaa ngapi tutoke kwao)

Kenya vs Somali(walipatia wakenya order sijui ya masaa ngapi tutoke kwao)

Never Understimate The Power Of Chang'aa. Ona Sasa.
 
Write your reply...wapendanao wakigombana shika jembe ukalime na wakipatana nenda shamba kavune
 
Tz is a sovereign state,non aligned...we dont wana mess up wit them folks,alshabab n eish ...u deal with what u started

Sent using Jamii Forums mobile app
nyi huwa wamama,every dog has its own day,thank God atleast sai kdf na kenyans wanajua what vita is n how to tackle it,so thats a good thing its make our army stronger,we shinda hapo,N for your info terrorists can attack any country ka UK na US zina attackiwa sasa what is tanzania really!!!
 
Kamanda Maina Njenga na Mobb yake ya Mungiki imemada wasapre na wajaka wangapi compared to Alshabab.
 
Kuna wasomali waliuawa juzi kwenye shambulio pale hotelini unataka kusemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
That was a thing of wrong plave at the wrong time,watu 99%hapo hawakuwa muslim walikuwa christians na hindus juu wahindi wengi pia walikuwa huko juu ni westlands sasa hao wasomali siku yao ndo ilikuwa mbaya ,n mbna wajali bora waliuwa christians kenyans mia mbna wajali about wasomali wawili,pliz ka we si mkenya usiongee juu haujui kitu,unaamini kila kitu unaskia kwa news
 
Makosa ya Wakoloni baadhi ya sehemu zingebaki Somalia
Hahaha lakinini somalia bdo ni kubwa sana hata bila north east part,na btw part tu ndogo ndo yao coz hio ingine tumeborder ethiopia,pia tunaeza kasirika tuwapee n tuwafukuze wote kenya waenda kwao[emoji1] lakini somaliland ikipatabindependence vizuri watarudi wenyewe bila kuambiwa
 
Back
Top Bottom