pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nani huyo? Mbona jina lake halipo popote? 😀Hivi mna mchezaji NBA kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyo? Mbona jina lake halipo popote? 😀Hivi mna mchezaji NBA kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mna mchezaji NBA kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
ThabeetNani huyo? Mbona jina lake halipo popote? 😀
Eti muokota mpira? Tunaye mmoja wa top sports executives kule Marekani. Manager kwenye NBA wa timu ya Toronto Raptors, Maasai Ujiri. Siku nyingine ukiona rangi za bendera ya Kenya kwenye game ya NBA usiulize maswali mengi.Hamna hata muokota mipira NBA...?
Sasa huyo anawasaidia nini kwenye timu yenu....au huwa mnamwita na yeye acheze... Ila mnapenda sana sifa sijawahi ona.... Anyway tuyaache hayo.... Siku njema.Eti muokota mpira? Tunaye mmoja wa top sports executives kule Marekani. Manager kwenye NBA wa timu ya Toronto Raptors, Maasai Ujiri. Siku nyingine ukiona rangi za bendera ya Kenya kwenye game ya NBA usiulize maswali mengi.
![]()
Uliyaanza mwenyewe. Sasa anayehitaji usaidizi ni nani kati yetu na nyinyi? Kwenye huu mchuano wa FIBA Tanzania hamjafuzu tena kushiriki isipokuwa mwaka wa 1974 ambapo mlimaliza kwenye nafasi ya mwisho kabisa, mkia kama kawa. [emoji1]Sasa huyo anawasaidia nini kwenye timu yenu....au huwa mnamwita na yeye acheze... Ila mnapenda sana sifa sijawahi ona.... Anyway tuyaache hayo.... Siku njema.
Acha mzaha, Thabeet anachezea timu ipi kwenye NBA kwa sasa? Meanwhile... kando na Maasai Ujiri kwenye NBA, mkenya Josephine Owino anafanya makubwa kwenye WNBA hadi walimuingiza kwenye 'Hall of Fame'.Thabeet
Msimu wa NBA unaendelea wachezaji wengi wapo huko... Ni week 13 sasa.. Nyie msio na wachezaji huko ndo mnakenua.... Thabeet kwa sasa yupo NBA g league baada ya kutoka Japan... Msimu ujao anarudi kwenyewe tena.Uliyaanza mwenyewe. Sasa anayehitaji usaidizi ni nani kati yetu na nyinyi? Kwenye huu mchuano wa FIBA Tanzania hamjafuzu tena kushiriki isipokuwa mwaka wa 1974 ambapo mlimaliza kwenye nafasi ya mwisho kabisa, mkia kama kawa. [emoji1]
Acha mzaha, Thabeet anachezea timu ipi kwenye NBA kwa sasa? Meanwhile... kando na Maasai Ujiri kwenye NBA, mkenya Josephine Owino anafanya makubwa kwenye WNBA hadi walimuingiza kwenye 'Hall of Fame'.![]()
Kenyan basketball player inducted in Hall of Fame
US-based Josephine Owino scores a first in glittering career.www.nation.co.ke
Hili ni povu la Omo wa shilingi 95.59 😁Msimu wa NBA unaendelea wachezaji wengi wapo huko... Ni week 13 sasa.. Nyie msio na wachezaji huko ndo mnakenua.... Thabeet kwa sasa yupo NBA g league baada ya kutoka Japan... Msimu ujao anarudi kwenyewe tena.
Halafu unaanza kuleta wanawake ... Anayeongelea wanawake hapa ni nani.... Kama wachezaji hawapo usilazimishe Mjomba...
Mbona sasa Top 10 FIBA African countries hampo?ROBERTO 20 sijamaliza. NBA wanaanzisha league yao hapa Afrika, NBA BAL(Basketball Africa League) na Kenya ilijinyakulia nafasi ya kushiriki. Baada ya Kenya kuibuka wa pili Afrika na kunyakua medali ya fedha kwenye FIBA Afrocan 2019. Mtashiri pia, au mabeberu wanawaonea kijicho kama kawa?![]()
Kenya assured of slot in NBA Africa League
Assurance given by FIBA Africa president following Kenya's silver medal performance.www.the-star.co.ke
Hamna povu hapo tunaongea uhalisiaHili ni povu la Omo wa shilingi 95.59 😁
Tanzania ipo? 😀Mbona sasa Top 10 FIBA African countries hampo?
Naona quarter zilizofuata mmegongeka sana mbona hukutupa updates kama 1st quarter
Hahaha wote hatupo..,wote mulemule tu... Unatamba nini sasa...just shut up.Tanzania ipo? 😀
Najua ulipiga hesabu baada 1st quarter... 1st 20-0, 2nd 50-0, 3rd 80-0, 4th 120-0.... Yalitimia nadhani malengo yakoJuu niliona tunawaibisha tu bure na si poa, hio si ujirani
Hebu tafuta rankings za FIBA alafu uangalie nafasi ya Kenya na ya Tz pia. Hivi kuna mchezo wowote ule chini ya jua ambao Tz ipo kwenye Top 10? [emoji1] Usinitajie uchawi. [emoji23]Hahaha wote hatupo..,wote mulemule tu... Unatamba nini sasa...just shut up.
MuzikiHebu tafuta rankings za FIBA alafu uangalie nafasi ya Kenya na ya Tz pia. Hivi kuna mchezo wowote ule chini ya jua ambao Tz ipo kwenye Top 10? [emoji1] Usinitajie uchawi. [emoji23]