Kenya Vs Tanzania FIBA Basketball Games

Eti muokota mpira? Tunaye mmoja wa top sports executives kule Marekani. Manager kwenye NBA wa timu ya Toronto Raptors, Maasai Ujiri. Siku nyingine ukiona rangi za bendera ya Kenya kwenye game ya NBA usiulize maswali mengi.
Sasa huyo anawasaidia nini kwenye timu yenu....au huwa mnamwita na yeye acheze... Ila mnapenda sana sifa sijawahi ona.... Anyway tuyaache hayo.... Siku njema.
 
Sasa huyo anawasaidia nini kwenye timu yenu....au huwa mnamwita na yeye acheze... Ila mnapenda sana sifa sijawahi ona.... Anyway tuyaache hayo.... Siku njema.
Uliyaanza mwenyewe. Sasa anayehitaji usaidizi ni nani kati yetu na nyinyi? Kwenye huu mchuano wa FIBA Tanzania hamjafuzu tena kushiriki isipokuwa mwaka wa 1974 ambapo mlimaliza kwenye nafasi ya mwisho kabisa, mkia kama kawa. [emoji1]
Acha mzaha, Thabeet anachezea timu ipi kwenye NBA kwa sasa? Meanwhile... kando na Maasai Ujiri kwenye NBA, mkenya Josephine Owino anafanya makubwa kwenye WNBA hadi walimuingiza kwenye 'Hall of Fame'.
 
Msimu wa NBA unaendelea wachezaji wengi wapo huko... Ni week 13 sasa.. Nyie msio na wachezaji huko ndo mnakenua.... Thabeet kwa sasa yupo NBA g league baada ya kutoka Japan... Msimu ujao anarudi kwenyewe tena.
Halafu unaanza kuleta wanawake ... Anayeongelea wanawake hapa ni nani.... Kama wachezaji hawapo usilazimishe Mjomba...
 
Hili ni povu la Omo wa shilingi 95.59 😁
 
ROBERTO 20 sijamaliza. NBA wanaanzisha league yao hapa Afrika, NBA BAL(Basketball Africa League) na Kenya ilijinyakulia nafasi ya kushiriki. Baada ya Kenya kuibuka wa pili Afrika na kunyakua medali ya fedha kwenye FIBA Afrocan 2019. Mtashiri pia, au mabeberu wanawaonea kijicho kama kawa?
 
Mbona sasa Top 10 FIBA African countries hampo?
 
Hahaha wote hatupo..,wote mulemule tu... Unatamba nini sasa...just shut up.
Hebu tafuta rankings za FIBA alafu uangalie nafasi ya Kenya na ya Tz pia. Hivi kuna mchezo wowote ule chini ya jua ambao Tz ipo kwenye Top 10? [emoji1] Usinitajie uchawi. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…