Kenya vs Tanzania: Mbona Kuna Chuki?

Kwa sasa usiongee mengi. Ila ukifika Bongo Tz ndipo utathibitisja kuwa kweli Tz iko juu sana kuliko Kenya.
 
shida Wakenya wanajiona wanaakili na wajanja wajanja..hatutaki wanyonyaji kutoka kenya! nendeni Sudan na Somalia
 
shida Wakenya wanajiona wanaakili na wajanja wajanja..hatutaki wanyonyaji kutoka kenya! nendeni Sudan na Somalia

msituambukize ulaji ALBINO . . Hatutaki ushetani. Halafu mje mchukue ombaomba wenu wamejaa huku. nugu .
 
shida Wakenya wanajiona wanaakili na wajanja wajanja..hatutaki wanyonyaji kutoka kenya! nendeni Sudan na Somalia
Angalia tv zao kama huwezi fika kwao na ulinganishe na zetu.
Linganisha katiba yao na yetu.
Linganisha elimu yao na yetu.
Linganisha uchumi wao na wetu.
Tz imewekeza kiasi gani Kenya na kinyume chake.
nk nk nk nk.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huu uzi umeanzishwa ndo ili kuwe na mpambano na si kama heading ilivyouliza.

Alafu hata sioni sababu ya maana ya haya malumbano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna unalojua unapiga domo tupu, katiba imewasaidia nini wakati kipindi cha uchaguzi bado mnaendelea kufa kama wanyama?, corruption, tribalism, nepotism, police killings and slums zinazidi kila siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakenya na wa tz wanamaudugu na maingiliano kuzidi nchi yeyote EAC, huwez ni twins hivyo tarajia hayo but all in all Kenya is a country Tanzanian love than any in the world
Kenya shemeji zetu...tunaoa huko na michepuko yetu ni wakenya...we love kenya.
 
Mimi naipenda kenya ila simpendi mk254.kwa sababu ndo chanzo cha chuki.thread zako zote ni za uchonganishi.mtoa thread anza kuihoji hii virus kwanza





Na log off
 
Mimi naipenda kenya ila simpendi mk254.kwa sababu ndo chanzo cha chuki.thread zako zote ni za uchonganishi.mtoa thread anza kuihoji hii virus kwanza





Na log off

Aisei humu tungekua tunakuja kutafuta kupendwa basi hii JF haingekua na umaarufu wowote, ila ndio chombo mahsusi cha watu kukubali kutokubaliana kwa hoja, humu wapo Watzed ambao hukesha wakitiririka chuki dhidi ya Kenya, ila sisi Wakenya tulishawazoea na kuwavumilia maana kiaina huwawezesha kupata kaunafuu, ni kama vile raha ya nyeto.
Mitandao ya kijamii huwafaidi watu kuwa na sehemu ya kusema, hususan kwa nchi yenu ambayo mumeminywa hamna uhuru wa kusema. Nakumbuka kipindi fulani mkulu wenu aliomba malaika waje na kufunga mitandao yote.

Kama ukishindwa kuvumilia maoni ya watu humu, log off kabisa nenda kacheze bao kijiweni.
 
Nacheza bao kijiweni apa.akili yangu, mitazamo, na research yangu ndogo bado inaonyesha wew ni hamnazo.unajifanya unabeba jina la kenya kwenye thread za mihemko yako mwenyew.unaonekana una misukosuko ya maisha inakusumbua.wakenya hawako kama wewe nasema never.unajifanya akili kubwa kila kitu unajua kumbe hamna kitu.sisi wengine tukikosa vya kuchangia tunasoma thread (sio kwamba we unajua).ila ni mkurupukaji sikutofautishi na akina mwajuma ndala ndefu [emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…