Kenya vs Tanzania military

TUJARIBU WAR YA UTANI TUONE NANI MBISHI...
 
Wakenyaaaaaaa hahahahahaha kama mpo vzuri hebu fanyeni kama kutubeep afu kitakachowatokea ndio jibu
 
M

Mnapenda vya bure sana, mlipewa misaada ya hivyo vifaa toka west sababu ya al shabaab vingine mnadaiwa na China sababu ya tamaa za kutaka kuonekana kama Marekani eti you stupids, pamoja na vifaa hivyo mjaribu Tz TUNAWAOA wakenya wote na njaa zenu hizo, Mshazoea kupigwa na wake zenu manyangau.
 
Nyinyi mnanunua Mitumba ya Inchi duni sisi tukizitoa Marekani (Superpower), Britain, Urusi na Israel. Sasa mtatuambia??
 
Mnataka kupigana vita, wakati utaalam ni sifuri, Chezeeni TZ mtakuja kukipata cha mtemakuni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tangu sikugani Inchi ya Ujamaa ikapiga Capitalist? Sisi tuko na backup ingine wazimu ya experience na Allies support. Nyinyi mko na LDC, Ujinga na Majeshi ya Showground, sasa mtapigana aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnataka kupigana vita, wakati utaalam ni sifuri, Chezeeni TZ mtakuja kukipata cha mtemakuni.
 
Brother kenya lazima wafanye yote hayo due to war threatening iliyopo kwenu mna msomali ni hatari sana kwenu sisi hatari ipo kwa burundi tu nayo kwa sasa si kubwa.
Kenya must spent more money in army otherwise al shabab watawabaka
Burundi hamna threat yoyote, in fact Burundi anapata maelekezo kutoka kwetu. Tanzania, Uganda, Burundi, Mozambique and South Africa plus new signing Zimbabwe ni kitu kimoja katika hali na Mali, halafu mshirika wa Kimataifa namba moja ambaye yuko nyuma ya Tz ni China, huyu anatusapoti Ki jeshi hadi kiuchumi, anatupa vifaa vyake vya kivita na kutujengea facilities za kijeshi na mengine mengi, halafu anafuata Cuba na wa mwisho ni Urusi.
 
Hahahahaha eti na nyie paka shume mnajifananisha na simba kamili!!!
Jeshi la kenya lina tofauti gani na migambo wa jiji...kuna wakati walinzi maalumu wa Rais walienda kupigana na jambazi mmoja baada ya vikosi vingine kushindwa......nawadharau sana tangu siku hiyo.
 
Muulize Idd Amin, nyie na hiyo captalism wasomali wamewaliza na wanawauwa kila kukicha, hamna kipya huko mbwembwe tu
 
Nyinyi mnanunua Mitumba ya Inchi duni sisi tukizitoa Marekani (Superpower), Britain, Urusi na Israel. Sasa mtatuambia??
Hahah jeshi la kenya yaan KDF linatumia Ndege za kivita aina ya F5 na izo ndege za kiboya sana kuna siku kambi ya KDF ya El Adde Iliyopo somalia ilishambuliwa na alshabab kenya ikapeleka izo ndege kusaidia unaambiwa zilihepa kurudi kenya fasta kwani alshabaab walikuwa na bunduki za kulipua ndege kutoka hewani yaani anti aircraft gun tofauti na Wanaume wa JWTZ wanatumia mashine ya mrusi inaitwa MiG21 moto wake Ni balaa hata jeshi la india linaitumia hii kitu
 
Sisi ni capitalist. Hatuchokozi. Tunangoja watu wa Ujamaa wajaribu alafu tuwaonjeshe Makali ya Capitalism. Uliza Japan vile walijaribu kuchokoza our big brothers. Kwanza mtaanzaje kupigana na Kenya wakati tuko na economy kubwa na the US & British base kenya?? How?? Hio si nikuchokoza nyuki jameni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenyaaaaaaa hahahahahaha kama mpo vzuri hebu fanyeni kama kutubeep afu kitakachowatokea ndio jibu
 
Kenya inapambwa eti strong military only because it purchase western weapons, same old capitalist propagandas but down to the ground Kdf's are dying like chickens despite of having the so called latest weapons from the west.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ati wasomali.?? We unajua unaongelea nini kweli? KDF,Somali army,Uganda na Ethiopia zote ziko Somalia under AMISOM kupigana na Al shabaab na kuikomboa Somalia si kupigana na wasomali ngombeii. Na utasemaje wasomali wametulemea wakati KDF imenyakua Mogadishu na Kismayu already? As we speak the Kenya Navy is already controlling the Somali waters na Alshabaab wamekimbilia North side za Ethiopia. This war is already on the winning side for Kenya.
Muulize Idd Amin, nyie na hiyo captalism wasomali wamewaliza na wanawauwa kila kukicha, hamna kipya huko mbwembwe tu
 
Hata Kama mtakua mmetumia zaid ya mara kumi ya Tanzania ni sawa Tanzania hatupigani vita na nchi yyt Kenya mnapigana na alshabab hivyo lazima bajet iwe kubwa. Na nataka tu nikuambie ukubwa wa bajet sio weledi wa kivita hilo mtambue Vita ni mbinu,

Ndio maana hata mmarekan na mvietnam Vita ilikua ngum kwa mmarekan kwa sababu ya weledi wa kivita wa mviet nam

Ndio mana pamoja na madege ya vita ya mmarekan na manowari za kisasa havikufua dafu kwa mmarekan na kuambulia kichapo cha mbwa koko

Nb wakati wakenya mnaweka ma bajeti makubwa ya kunununua madege ya kivita kwa ajili ya alshabab mpaka leo mmeshindwa kuwaangamiza kwa sababu
Vita inahitaji weledi mkubwa nanyi hamna weled wa kivita, vita haimalizwi angani utapiga weee makombora shuka chini ukutane na vidume ndio ushinde vita


Lakin mpaka leo Hakuna kitu wakenya ni wachache sana jeshi lenu dhaifu huwezi kulinganisha kdf na jwtz hata siku moja
Sisi levo zingine tukiwa na vita kama nyinyi tutaweka bajet kubwa ya kijeshi kama ya kwenu au zaid,
Wakati nyie mnaweka ma bajet yenu kwenye vita sie tunawekeza pesa zetu kwenye viwanda
Na mambo ya miundo mbinu asante.
 
hahahahahahaha South Africa??? Please stop Dreaming
 
You are still a small boy who has just come out of suckling your moms tit trying to talk like an adult.
 
hahahahahahaha South Africa??? Please stop Dreaming
We fought for their independence_ The bond was there even before we had nyerere as a president,

We work together into several fields and we've accomplished a several missions together including removing m23 from Congo.

they're among of our strongest allies. Just know if you fight Tz you fight a group of strong people behind

Plus we're in the same Block/community and just months ago SADC members were here in Tz conducting military Exercises
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nani alikuadidhia hio stori. Ongea kenye unajua kaka. After the El adde attack Air Force iliingilia kati nakuwauwa Wanamgambo wote na kunyakua hilo eneo na kwa sasa El adde ni moja miongoni mwa military Base za Kenya so buda uwache kujidanganya. Kifo ni lazima kwa wanajeshi wote Somalia including Amisom na America. But after the bloody war, Kenya conquered Kismayu, Mogadishu & El adde.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…