Kenya vs Tanzania military

Kenya vs Tanzania military

Kenya is undoubtedly a supreme military outfit in East Africa due to its superior weapon hardware and defense spending. Tanzania spent $544 million (Sh56 billion) –half of what Kenya spent on its forces.

Kenya’s Kshs.100 million plus defense expenditure accounts for 2.4 percent of total African military spending. This enormous resource upsets the balance of power in the Eastern African region. This colossal budgetary allocation accords Kenya as the eighth largest Africa’s military spender.

The positive outlook of the Kenya Defence Forces (KDF) further extends into Somalia war involvement that is supported by 4000 troops.

Since military weapons acquisitions are kept under wraps by the respective military units, it’s difficult to tell the real power behind their uniform. However, some prominent purchases do find themselves in the public domain through credible international bodies.

Kenya Defence Forces had slashed their military weapons purchase sharply since last year by Kshs.1.5 Billion while and their Tanzanian counterparts, Tanzania People's Defense Forces didn’t order for any weapons.

Kenya’s KDF compromise 24,150active personnel, slightly less than Tanzania’s 30,000 staff.

According to Global Firepower, Kenya commands a stockpile of 76 battle tanks, 591 armored fighting vehicles, 25 towed artillery, 30 self-propelled guns, 17 fighter jets, 131 aircraft, and 61 helicopters.

In the same report by Global firepower, Tanzania is confirmed to have an arsenal of 30 aircraft, 30 tanks, and 150 armored fighting vehicles.

View attachment 890421
TUJARIBU WAR YA UTANI TUONE NANI MBISHI...
 
Wakenyaaaaaaa hahahahahaha kama mpo vzuri hebu fanyeni kama kutubeep afu kitakachowatokea ndio jibu
 
M
Mtapigana na nini kama hamna vifaa zakutosha na uchumi wa kuwa sustain??[emoji23][emoji23][emoji23] No wonder hii ujinga yenyu ilisababisha mauwaji ya Majimaji. Ati mnakuja vifua wazi! how?? Kenya has extensive power of the allies nyinyi ni mdomo kavu tu.Infact the war can't be fought on Kenyan soil ju the deadly Maasa & the Nandi tribes will definitely finish your citizens.Na tukisema mlete raia, Kwanza the furthest mtasonga ni just after the border ju ukipanda ukielekea North utapatana na Maasai,Kikuyu,Nandi alafu the deadliest Turukana & Somali in the Nothern desert! Nyinyi mumezoea bahari na uzembe mtapigana aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na unatarajia aje Tz ipigane na Kenya wakati Military base za US na Britain ziko kenya?? Mtafagiliwa kama takatataka nyinyi.

Mnapenda vya bure sana, mlipewa misaada ya hivyo vifaa toka west sababu ya al shabaab vingine mnadaiwa na China sababu ya tamaa za kutaka kuonekana kama Marekani eti you stupids, pamoja na vifaa hivyo mjaribu Tz TUNAWAOA wakenya wote na njaa zenu hizo, Mshazoea kupigwa na wake zenu manyangau.
 
Nyinyi mnanunua Mitumba ya Inchi duni sisi tukizitoa Marekani (Superpower), Britain, Urusi na Israel. Sasa mtatuambia??
Acha kutulisha upupu,kama unafuatilia vyombo vya habari kipindi korea kaskazini inawekewa vikwazo vya kibiashara kwa kutengeneza makombora ya nyuklia na baraza la usalama la umoja wa mataifa kuna ripoti ilisema 'kuna nchi ambazo bado zinakwenda kinyume na baraza zinafanya biashara na north korea kama tanzania,china zimbabwe nk,ikaendelea kusema ripoti kuna taarifa za kuaminika kwamba north korea imeiuzia tanzania mfumo wa rada wa kijeshi na mtambo wa kurusha makombora ya hewani" ndipo waziri wa mambo ya nje wa tz akakana akasema 'ni kwel kipindi cha nyuma tanzania walikuwa na mkataba na north korea ila kwa sasa mkataba wao umeisha akongeza kwa kusema "hata ivo hivi vitu hatukupewa bure tulinunua kwa pesa yetu" ,afu ww unakuja kutulisha matango pori samaki ww,jaribu muone
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Buda! Hakuna inchi ya Kiafrika ambayo iko na usiri kwa military unless unataka kutudanganya Tz ni superpower kama US na Russia ambao wako na nuclear weapons! Tz haidevelop any military weapon instead wao hununua kama inchi zingine duniani. Na statistics zinaonesha expenditure yenyu iko chini sana infact hakuna vuta mshai pigana kama Jeshi ni Peace keeping pekee! Kenya on the other hand imeongeza budget yake na purchasing power to a very high level! Tena hio unataka kubishana?
Mnataka kupigana vita, wakati utaalam ni sifuri, Chezeeni TZ mtakuja kukipata cha mtemakuni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tangu sikugani Inchi ya Ujamaa ikapiga Capitalist? Sisi tuko na backup ingine wazimu ya experience na Allies support. Nyinyi mko na LDC, Ujinga na Majeshi ya Showground, sasa mtapigana aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnataka kupigana vita, wakati utaalam ni sifuri, Chezeeni TZ mtakuja kukipata cha mtemakuni.
 
Brother kenya lazima wafanye yote hayo due to war threatening iliyopo kwenu mna msomali ni hatari sana kwenu sisi hatari ipo kwa burundi tu nayo kwa sasa si kubwa.
Kenya must spent more money in army otherwise al shabab watawabaka
Burundi hamna threat yoyote, in fact Burundi anapata maelekezo kutoka kwetu. Tanzania, Uganda, Burundi, Mozambique and South Africa plus new signing Zimbabwe ni kitu kimoja katika hali na Mali, halafu mshirika wa Kimataifa namba moja ambaye yuko nyuma ya Tz ni China, huyu anatusapoti Ki jeshi hadi kiuchumi, anatupa vifaa vyake vya kivita na kutujengea facilities za kijeshi na mengine mengi, halafu anafuata Cuba na wa mwisho ni Urusi.
 
Hahahahaha eti na nyie paka shume mnajifananisha na simba kamili!!!
Jeshi la kenya lina tofauti gani na migambo wa jiji...kuna wakati walinzi maalumu wa Rais walienda kupigana na jambazi mmoja baada ya vikosi vingine kushindwa......nawadharau sana tangu siku hiyo.
 
Muulize Idd Amin, nyie na hiyo captalism wasomali wamewaliza na wanawauwa kila kukicha, hamna kipya huko mbwembwe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tangu sikugani Inchi ya Ujamaa ikapiga Capitalist? Sisi tuko na backup ingine wazimu ya experience na Allies support. Nyinyi mko na LDC, Ujinga na Majeshi ya Showground, sasa mtapigana aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyinyi mnanunua Mitumba ya Inchi duni sisi tukizitoa Marekani (Superpower), Britain, Urusi na Israel. Sasa mtatuambia??
Hahah jeshi la kenya yaan KDF linatumia Ndege za kivita aina ya F5 na izo ndege za kiboya sana kuna siku kambi ya KDF ya El Adde Iliyopo somalia ilishambuliwa na alshabab kenya ikapeleka izo ndege kusaidia unaambiwa zilihepa kurudi kenya fasta kwani alshabaab walikuwa na bunduki za kulipua ndege kutoka hewani yaani anti aircraft gun tofauti na Wanaume wa JWTZ wanatumia mashine ya mrusi inaitwa MiG21 moto wake Ni balaa hata jeshi la india linaitumia hii kitu
 
Sisi ni capitalist. Hatuchokozi. Tunangoja watu wa Ujamaa wajaribu alafu tuwaonjeshe Makali ya Capitalism. Uliza Japan vile walijaribu kuchokoza our big brothers. Kwanza mtaanzaje kupigana na Kenya wakati tuko na economy kubwa na the US & British base kenya?? How?? Hio si nikuchokoza nyuki jameni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenyaaaaaaa hahahahahaha kama mpo vzuri hebu fanyeni kama kutubeep afu kitakachowatokea ndio jibu
 
A strong military only acts when necessary. If we attack migingo, the strong economic bond between Kenya & UG will decline so we do what capitalists do. Lay low! Just like the US. Capitalism is all about thinking out of the box. Na hio ndio mistake inchi za kijinga kama Tz na Japan hufanya wakituchukulia wanyonge. Ona in ww2 vile Japan walijibeba kifua kuvamia US. They were indeed met with fire & fury. Same to Tz & Ug. Mkiendelea kuchokoza simba atawapea mnacho tafuta.
Kenya inapambwa eti strong military only because it purchase western weapons, same old capitalist propagandas but down to the ground Kdf's are dying like chickens despite of having the so called latest weapons from the west.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ati wasomali.?? We unajua unaongelea nini kweli? KDF,Somali army,Uganda na Ethiopia zote ziko Somalia under AMISOM kupigana na Al shabaab na kuikomboa Somalia si kupigana na wasomali ngombeii. Na utasemaje wasomali wametulemea wakati KDF imenyakua Mogadishu na Kismayu already? As we speak the Kenya Navy is already controlling the Somali waters na Alshabaab wamekimbilia North side za Ethiopia. This war is already on the winning side for Kenya.
Muulize Idd Amin, nyie na hiyo captalism wasomali wamewaliza na wanawauwa kila kukicha, hamna kipya huko mbwembwe tu
Screenshot_20181006-160031.jpeg
 
Kenya is undoubtedly a supreme military outfit in East Africa due to its superior weapon hardware and defense spending. Tanzania spent $544 million (Sh56 billion) –half of what Kenya spent on its forces.

Kenya’s Kshs.100 million plus defense expenditure accounts for 2.4 percent of total African military spending. This enormous resource upsets the balance of power in the Eastern African region. This colossal budgetary allocation accords Kenya as the eighth largest Africa’s military spender.

The positive outlook of the Kenya Defence Forces (KDF) further extends into Somalia war involvement that is supported by 4000 troops.

Since military weapons acquisitions are kept under wraps by the respective military units, it’s difficult to tell the real power behind their uniform. However, some prominent purchases do find themselves in the public domain through credible international bodies.

Kenya Defence Forces had slashed their military weapons purchase sharply since last year by Kshs.1.5 Billion while and their Tanzanian counterparts, Tanzania People's Defense Forces didn’t order for any weapons.

Kenya’s KDF compromise 24,150active personnel, slightly less than Tanzania’s 30,000 staff.

According to Global Firepower, Kenya commands a stockpile of 76 battle tanks, 591 armored fighting vehicles, 25 towed artillery, 30 self-propelled guns, 17 fighter jets, 131 aircraft, and 61 helicopters.

In the same report by Global firepower, Tanzania is confirmed to have an arsenal of 30 aircraft, 30 tanks, and 150 armored fighting vehicles.

View attachment 890421
Hata Kama mtakua mmetumia zaid ya mara kumi ya Tanzania ni sawa Tanzania hatupigani vita na nchi yyt Kenya mnapigana na alshabab hivyo lazima bajet iwe kubwa. Na nataka tu nikuambie ukubwa wa bajet sio weledi wa kivita hilo mtambue Vita ni mbinu,

Ndio maana hata mmarekan na mvietnam Vita ilikua ngum kwa mmarekan kwa sababu ya weledi wa kivita wa mviet nam

Ndio mana pamoja na madege ya vita ya mmarekan na manowari za kisasa havikufua dafu kwa mmarekan na kuambulia kichapo cha mbwa koko

Nb wakati wakenya mnaweka ma bajeti makubwa ya kunununua madege ya kivita kwa ajili ya alshabab mpaka leo mmeshindwa kuwaangamiza kwa sababu
Vita inahitaji weledi mkubwa nanyi hamna weled wa kivita, vita haimalizwi angani utapiga weee makombora shuka chini ukutane na vidume ndio ushinde vita

Lakin mpaka leo Hakuna kitu wakenya ni wachache sana jeshi lenu dhaifu huwezi kulinganisha kdf na jwtz hata siku moja
Sisi levo zingine tukiwa na vita kama nyinyi tutaweka bajet kubwa ya kijeshi kama ya kwenu au zaid,
Wakati nyie mnaweka ma bajet yenu kwenye vita sie tunawekeza pesa zetu kwenye viwanda
Na mambo ya miundo mbinu asante.
 
Burundi hamna threat yoyote, in fact Burundi anapata maelekezo kutoka kwetu. Tanzania, Uganda, Burundi, Mozambique and South Africa plus new signing Zimbabwe ni kitu kimoja katika hali na Mali, halafu mshirika wa Kimataifa namba moja ambaye yuko nyuma ya Tz ni China, huyu anatusapoti Ki jeshi hadi kiuchumi, anatupa vifaa vyake vya kivita na kutujengea facilities za kijeshi na mengine mengi, halafu anafuata Cuba na wa mwisho ni Urusi.
hahahahahahaha South Africa??? Please stop Dreaming
 
A strong military only acts when necessary. If we attack migingo, the strong economic bond between Kenya & UG will decline so we do what capitalists do. Lay low! Just like the US. Capitalism is all about thinking out of the box. Na hio ndio mistake inchi za kijinga kama Tz na Japan hufanya wakituchukulia wanyonge. Ona in ww2 vile Japan walijibeba kifua kuvamia US. They were indeed met with fire & fury. Same to Tz & Ug. Mkiendelea kuchokoza simba atawapea mnacho tafuta.
You are still a small boy who has just come out of suckling your moms tit trying to talk like an adult.
 
hahahahahahaha South Africa??? Please stop Dreaming
We fought for their independence_ The bond was there even before we had nyerere as a president,

We work together into several fields and we've accomplished a several missions together including removing m23 from Congo.

they're among of our strongest allies. Just know if you fight Tz you fight a group of strong people behind

Plus we're in the same Block/community and just months ago SADC members were here in Tz conducting military Exercises
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nani alikuadidhia hio stori. Ongea kenye unajua kaka. After the El adde attack Air Force iliingilia kati nakuwauwa Wanamgambo wote na kunyakua hilo eneo na kwa sasa El adde ni moja miongoni mwa military Base za Kenya so buda uwache kujidanganya. Kifo ni lazima kwa wanajeshi wote Somalia including Amisom na America. But after the bloody war, Kenya conquered Kismayu, Mogadishu & El adde.
Hahah jeshi la kenya yaan KDF linatumia Ndege za kivita aina ya F5 na izo ndege za kiboya sana kuna siku kambi ya KDF ya El Adde Iliyopo somalia ilishambuliwa na alshabab kenya ikapeleka izo ndege kusaidia unaambiwa zilihepa kurudi kenya fasta kwani alshabaab walikuwa na bunduki za kulipua ndege kutoka hewani yaani anti aircraft gun tofauti na Wanaume wa JWTZ wanatumia mashine ya mrusi inaitwa MiG21 moto wake Ni balaa hata jeshi la india linaitumia hii kitu
 
Hahah jeshi la kenya yaan KDF linatumia Ndege za kivita aina ya F5 na izo ndege za kiboya sana kuna siku kambi ya KDF ya El Adde Iliyopo somalia ilishambuliwa na alshabab kenya ikapeleka izo ndege kusaidia unaambiwa zilihepa kurudi kenya fasta kwani alshabaab walikuwa na bunduki za kulipua ndege kutoka hewani yaani anti aircraft gun tofauti na Wanaume wa JWTZ wanatumia mashine ya mrusi inaitwa MiG21 moto wake Ni balaa hata jeshi la india linaitumia hii kitu
uy.JPG
 
Back
Top Bottom