Kenya vs Tanzania military

Pwahaha unadhani kila kitu huwa tunaweka kwenye mitandao!!?

Hizi zinaitwa Amphibious Tank. Unazijua?

View attachment 890790
View attachment 890791

View attachment 890792
Kenya ranked East Africa’s most powerful military force

https://www.nation.co.ke/news/Mission-accomplished-/1056-1520574-87p078/index.html

How Kismayu fell to amphibious attack

zetu ni real life... sikucheza cheza kama nyinyi... only successful amphibious attack by an african army... kazi yenu ni copy and paste what we do.. Ulizs FOOL-i
 
Ah,baada ya ndege kushindwa ndipo wanajeshi kutoka kenya wakatumwa mpaka el adde kusaidia wakakuta alshaab wameiba silaha zingine za jeshi utaniambia nn ww? Je unakumbuka baada ya siku 4 donald trump kuapishwa kuwa rais ma marekan,kenya iliuziwa ndege 15 zinazotumika kuzimia moto na kupulizia dawa kwenye mashamba makubwa huko USA ili Jeshi la kenya lizitumie kama ndege vita...now you know nakwambia nilicheka sana nakuona kenya ni nchi ya ajabu sana inanunua ndege zinazotumika kwene kilimo kuwa ndege za kijeshi
 
Jeshi ya TZ kuimba dombolo tu mnajua.... toilet paper army
 
Pwahahaha naona unaanza kuchanganyikiwa kijana. Who is ranking!!? Can you please try kusogeza hata one inch katika nchi yetu uone moto wake.
Hayo yote ni magazeti ya kenya(.KE)
Ondoa umama hapa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waliona mambo ni mazito wakaona haina tabu acha wanunue hata ndege za kupulizia dawa, tena hapo yawezekana 10% ilipigwa.
 
Hahahahhahaha, Hivi Kweli Kenya ndio ya kushindana na Tanzania Kwenye medani?

Jamani, wakenya acheni ufala, nchi ina ukabila, ina majimbo yanataka kujitenga mnajilinganisha na Tanzania
Ondoeni ukabila kwanza ndio uje kujilinganisha na Tanzania kwenye Usalama

Tanzania inaweza ikamchagua rais wa Kenya.
Tanzania ni nyonga ya Africa
 
Hahahahhahaha, Hivi Kweli Kenya ndio ya kushindana na Tanzania Kwenye medani?

Jamani, wakenya acheni ufala, nchi ina ukabila, ina majimbo yanataka kujitenga mnajilinganisha na Tanzania
Ondoeni ukabila kwanza ndio uje kujilinganisha na Tanzania kwenye Usalama

Tanzania inaweza ikamchagua rais wa Kenya.
Tanzania ni nyonga ya Africa
 
Pwahahaha naona unaanza kuchanganyikiwa kijana. Who is ranking!!? Can you please try kusogeza hata one inch katika nchi yetu uone moto wake.
Hayo yote ni magazeti ya kenya(.KE)
Ondoa umama hapa.
Dunia yote knows.... the only thing TZ is good at is being lazy
 
Chezea Kenya uone motto.....Administration police[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pwahahahaha.
Buda are you serious unataka kucompare air Force ya kenya Na Tz!??
El adde KDF ilipeleka ...
*MD 500- light attack!
*MI 24 Hind- attack!
*F-5 jet fighters
Hizo pekee zimetosha kuwamaliza na hii jeshi yenyu ya show ground.
Tz hata na Madawa hamuwezani na KDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahah madogo mna comedy bana hao GSU Walikuwa walikuwa wapi kipindi alshabab wanavamia westgate? si walianza kuuana wao kwa wao,kama unakumbuka kuna komando wa kenya kutoka kikosi cha recce aliuliwa na wenzake now you know nyumbu na kama unakumbuka GSU Walishindwa wakaomba msaada kutoka kwa makomando wa MOSSAD Kutoka israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…