Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Pwahahaha siku hizi mmeacha kununua kutoka USA mnanunua kwenye communist countries.
Fake news
Hizi hapa nchi zinasotumi SA-11
Pwahahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pwahahaha siku hizi mmeacha kununua kutoka USA mnanunua kwenye communist countries.
Awa jamaa kweli wamechizika
Hahaha naona nyang'au kapotea njia.
Sisi tunawajua in and out vitu gani wanamilki.Hahaha naona nyang'au kapotea njia.
Kenya ranked East Africa’s most powerful military forcePwahaha unadhani kila kitu huwa tunaweka kwenye mitandao!!?
Hizi zinaitwa Amphibious Tank. Unazijua?
View attachment 890790
View attachment 890791
View attachment 890792
Ah,baada ya ndege kushindwa ndipo wanajeshi kutoka kenya wakatumwa mpaka el adde kusaidia wakakuta alshaab wameiba silaha zingine za jeshi utaniambia nn ww? Je unakumbuka baada ya siku 4 donald trump kuapishwa kuwa rais ma marekan,kenya iliuziwa ndege 15 zinazotumika kuzimia moto na kupulizia dawa kwenye mashamba makubwa huko USA ili Jeshi la kenya lizitumie kama ndege vita...now you know nakwambia nilicheka sana nakuona kenya ni nchi ya ajabu sana inanunua ndege zinazotumika kwene kilimo kuwa ndege za kijeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nani alikuadidhia hio stori. Ongea kenye unajua kaka. After the El adde attack Air Force iliingilia kati nakuwauwa Wanamgambo wote na kunyakua hilo eneo na kwa sasa El adde ni moja miongoni mwa military Base za Kenya so buda uwache kujidanganya. Kifo ni lazima kwa wanajeshi wote Somalia including Amisom na America. But after the bloody war, Kenya conquered Kismayu, Mogadishu & El adde.
Fikeni hapa kwanzaPwahaha unadhani kila kitu huwa tunaweka kwenye mitandao!!?
Hizi zinaitwa Amphibious Tank. Unazijua?
View attachment 890790
View attachment 890791
View attachment 890792
Jeshi ya TZ kuimba dombolo tu mnajua.... toilet paper armyAh,baada ya ndege kushindwa ndipo wanajeshi kutoka kenya wakatumwa mpaka el adde kusaidia wakakuta alshaab wameiba silaha zingine za jeshi utaniambia nn ww? Je unakumbuka baada ya siku 4 donald trump kuapishwa kuwa rais ma marekan,kenya iliuziwa ndege 15 zinazotumika kuzimia moto na kupulizia dawa kwenye mashamba makubwa huko USA ili Jeshi la kenya lizitumie kama ndege vita...now you know nakwambia nilicheka sana nakuona kenya ni nchi ya ajabu sana inanunua ndege zinazotumika kwene kilimo kuwa ndege za kijeshi
we buy from every 1 we don't know communism... we know a good deal... TZ muko fake tu sanaPwahahaha siku hizi mmeacha kununua kutoka USA mnanunua kwenye communist countries.
Fake news
Hizi hapa nchi zinasotumi SA-11
Pwahahahaha
View attachment 890800
Pwahahaha naona unaanza kuchanganyikiwa kijana. Who is ranking!!? Can you please try kusogeza hata one inch katika nchi yetu uone moto wake.Kenya ranked East Africa’s most powerful military force
Mission accomplished
How Kismayu fell to amphibious attack
zetu ni real life... sikucheza cheza kama nyinyi... only successful amphibious attack by an african army... kazi yenu ni copy and paste what we do.. Ulizs FOOL-i
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waliona mambo ni mazito wakaona haina tabu acha wanunue hata ndege za kupulizia dawa, tena hapo yawezekana 10% ilipigwa.Ah,baada ya ndege kushindwa ndipo wanajeshi kutoka kenya wakatumwa mpaka el adde kusaidia wakakuta alshaab wameiba silaha zingine za jeshi utaniambia nn ww? Je unakumbuka baada ya siku 4 donald trump kuapishwa kuwa rais ma marekan,kenya iliuziwa ndege 15 zinazotumika kuzimia moto na kupulizia dawa kwenye mashamba makubwa huko USA ili Jeshi la kenya lizitumie kama ndege vita...now you know nakwambia nilicheka sana nakuona kenya ni nchi ya ajabu sana inanunua ndege zinazotumika kwene kilimo kuwa ndege za kijeshi
Kwa hiyo hawa ndo balaa kabisa?GSU Recce squadView attachment 890822View attachment 890823
Dunia yote knows.... the only thing TZ is good at is being lazyPwahahaha naona unaanza kuchanganyikiwa kijana. Who is ranking!!? Can you please try kusogeza hata one inch katika nchi yetu uone moto wake.
Hayo yote ni magazeti ya kenya(.KE)
Ondoa umama hapa.
Fikeni hapa kwanzaView attachment 890818
Tz hata na Madawa hamuwezani na KDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah,baada ya ndege kushindwa ndipo wanajeshi kutoka kenya wakatumwa mpaka el adde kusaidia wakakuta alshaab wameiba silaha zingine za jeshi utaniambia nn ww? Je unakumbuka baada ya siku 4 donald trump kuapishwa kuwa rais ma marekan,kenya iliuziwa ndege 15 zinazotumika kuzimia moto na kupulizia dawa kwenye mashamba makubwa huko USA ili Jeshi la kenya lizitumie kama ndege vita...now you know nakwambia nilicheka sana nakuona kenya ni nchi ya ajabu sana inanunua ndege zinazotumika kwene kilimo kuwa ndege za kijeshi
Hahah madogo mna comedy bana hao GSU Walikuwa walikuwa wapi kipindi alshabab wanavamia westgate? si walianza kuuana wao kwa wao,kama unakumbuka kuna komando wa kenya kutoka kikosi cha recce aliuliwa na wenzake now you know nyumbu na kama unakumbuka GSU Walishindwa wakaomba msaada kutoka kwa makomando wa MOSSAD Kutoka israelGSU Recce squadView attachment 890822View attachment 890823