Kenya vs Tanzania military

Kenya vs Tanzania military

[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I hope you realize that in East Africa Kenya has the strongest lineups of allies support right from USA & Britain na tena hakuna Inchi Africa inaweza ingia kwa vita na Capitalist Nation. Hapo mtaumia na hio ujamaa yenyu. Already kenya iko na full support of its allies na kama hujui sahii as we speak British & American troops have their main base in Kenya so in any event of a war sijui mtakimbilia wapi ju already mtakuwa mkipigana na KDF under Amisom which will prove catastrophic to Tz. Hamna Economy, Support na Range ya kupigana na Kenya bro
Ask Iddi Amin's cronies, you can also the boers and the portuguese in mozambique
 
Hizi zitatumika tu kwa maonyesho ya show ground.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Experience ya vita hamna ju Tz has never been in any real war. Ethiopia na Uganda wako advance kuwaliko na bado wanakufa kama kuku Somalia nyinyi ni Makumbusho ndio inawafanya mjigambe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Come & fight as East African Members Under AMISOM! Muache kujitisha hapa
they have 1940 machinery and here with pang'ang'a pang'ang'a
 
Somalia is not our interest kijana. Nakuona kijasho chembamba kinakutoka.
Kuna BM-21 zaidi ya 250
View attachment 890729View attachment 890730
iron.JPG

mean while in Kenya... we are buying 2018
 
vita za 19 something nyamaza nazo.... hadithi hadithi njoo... useless army of Tanzania
Vipi mkijaribu hata kurusha risasi moja tu kwenye ardhi ya Tanzania ili muone namna jeshi letu lilivyo dhaifu?
 
Na Manyang'au waendelee kununua tu masilaha, walimbikize mpaka yawalipuwe wenyewe, bila kusahau kuendelea kukaribisha wageni kwa kisa mnalindwa kumbe mnaliwa/mtaliwa tu siku mopja..
 
Sasa ndo naelewa kwanini vijana wa kenya mnapenda kugawa tigo kwa wazungu?

Lakini izo allies zinawasaidia nini kama mnaongoza kwa let kubwa ya unemployment, slum

Yanini kujitutumua akati hata maji nairobi hakuna
20131019_gdm975.png

Africa-UN.jpg

africa-global-imr.jpg
 
Back
Top Bottom