Kenya vs Tanzania military

Kenya vs Tanzania military

Leta hio yenyu ya uchina tuone
Nakuonjesha kidogo. Zinaitwa FT-7

1539010345823.png
 
Nakumbuka kuna siku polisi ya kenya ilipelekwa kupambana na majambazi karibu na mpaka wa tanzania wilayani tarime karibu na kijiji cha kobori upande wa tanzania nakwambia walikimbia walivyokuta majambazi yanatumia bunduki za AK 47 Na risasi zile zenye ushanga ambayo ikipigwa juu inakimbia inawaka waka,risasi zilianza saa 6 usiku mpaka saa 2 asubuhi ikibidi waombe usaidizi kutoka upande wa tanzania kwa sababu ni karibu na mpaka wake ndipo kikosi cha polisi kitengo cha SPECIAL TASK kutoka tanzania kikaenda mpakani kikawamaliza wale majambazi,alikuemo demi fulani kwenye kikosi cha polisi kutoka tz alikuwa ni balaaa yaani mafia alikuwa na mashine ya adabu kinomaa Siku hiyo mpaka mkuu wa wilaya ya tarime alienda kushuhudia pia RPC Wa mara alikuepo na mkuu wa kaunti ya migori kenya alifika.... my take sasa kama majambazi wanawahangaisha hivi tz ndo mtatuweza? nyumbu nyie
 
naomba niulize idadi ya wanajeshi wa KDF waliokufa El Adde..??
Walikufa zaidi ya 200 Ila serikali ilificha kwa sababu Kabla ya magaidi kuvamia kambi walilipua mnara wa mawasiliano kwahiyo kukakosekana kwa mawasilano ndipo kenya ikatuma ndege za kivita aina ya F5 Kwenda kusaidia zilipoenda zikakuta alshabaab wana bunduki za RPG Za kulipua ndege kutoka hewani ndege zikahepa,ndipo wanajeshi wakaamriwa kutembea na miguu kutoka eneo la wajir na mandela kwenda kutoa msaada wakafika baada ya siku 3 shambulio Kufanyika wakakuta alshabaab imeua wanajeshi imesepa
 
Hizi zinaitwa JL-8. Tafuta ujue. Utaabika kijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] FT-7!!! Nilitarajia uniletee sukhoi kama Uganda ndio niwaogope kumbe mko worse kutuliko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 890915View attachment 890916View attachment 890918
Pwahaha. Kwani sisi tunataka mtuogope.
Atujawekeza kijana angani sisi tumewekeza chini.
Hatuna mpango wa kwenda kuvamia nchi sisi sunatumia Ballistic missile kijana.

Kuna hii mashine inatumika nchi Tatu tu
A-100 MRL

1539011221254.png

1539011255065.png

1539011187597.png

1539011107679.png
 
Walikufa zaidi ya 200 Ila serikali ilificha kwa sababu Kabla ya magaidi kuvamia kambi walilipua mnara wa mawasiliano kwahiyo kukakosekana kwa mawasilano ndipo kenya ikatuma ndege za kivita aina ya F5 Kwenda kusaidia zilipoenda zikakuta alshabaab wana bunduki za RPG Za kulipua ndege kutoka hewani ndege zikahepa,ndipo wanajeshi wakaamriwa kutembea na miguu kutoka eneo la wajir na mandela kwenda kutoa msaada wakafika baada ya siku 3 shambulio Kufanyika wakakuta alshabaab imeua wanajeshi imesepa
[emoji86] [emoji86] [emoji86] hiki kilikuwa kipigo cha aina yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zileteni hizo mitungi za showground Somalia tuone kama mtamaliza wiki moja nazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa unanifanya nicheke sana. Kwa hiyo sisi watz wiki moja itatukuta ardhini?
 
Vijana wa kenya nawataka msikimbie hapa.
Tunaanza na hili dude
BM-27 Uragan
1539012156700.png

1539012211263.png

1539012116156.png
 
Walikufa zaidi ya 200 Ila serikali ilificha kwa sababu Kabla ya magaidi kuvamia kambi walilipua mnara wa mawasiliano kwahiyo kukakosekana kwa mawasilano ndipo kenya ikatuma ndege za kivita aina ya F5 Kwenda kusaidia zilipoenda zikakuta alshabaab wana bunduki za RPG Za kulipua ndege kutoka hewani ndege zikahepa,ndipo wanajeshi wakaamriwa kutembea na miguu kutoka eneo la wajir na mandela kwenda kutoa msaada wakafika baada ya siku 3 shambulio Kufanyika wakakuta alshabaab imeua wanajeshi imesepa
et wanasema kuna baadhi ya kdf walikutwa hawana marinda
 
Mnatia Huruma Still, Licha Ya Kuwekeza Kote Uk Lakn Bado Hamko Na Amani Like Tz.

Kenyan Mtasubiri Kawafikia Watz Kwa Upande Wa Jeshi.

Lakn Hilo La Kuwekeza Sana Kwenye Millitary Limechagizwa Na Ukosefu Wa Amani Na Pia Wale Wanaowawinda.
 
google inasema wanajeshi wa KDF walikutwa wamebakwa wengine wakiwa wamejinyea
nipe maoni yako kuhusu udhalilishaji huo wa wanajeshi wenu
Bwahahahahaha!😂😂😂😂😂😊😊😊😊 kila siku wasomali wanawabaka kule North machizi hawa, halafu wanataka kujicompare na Tz!!???
 
Back
Top Bottom