Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Naona Majirani wameanza Tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyangau hatuwauzii mahindi msimu ujao wakome jeuriNaona Majirani wameanza Tena
View attachment 2908862
Nn tena picha haifunguki
Ova
Tujipange kuwajibu
Nyangau hatuwauzii mahindi msimu ujao wakome jeuri
Daaah yanachoma sana😂😂😂😂😂masimango ya jirani yanachoma
hata wewe unaweza kuwajibuTunaomba uwajibu majirani
Mimi nafkiri watanzania tuache ligi ya mabishano na Kenya, tujikite na ishu zetu za ndani, wale jamaa wapo hatua kadhaa mbele kuliko sisi.
- Sekta ya elimu wametuacha.
- Sekta ya siasa wametuacha, sisi upinzani ulifutwa kabisa bungeni na bado tukaweka matako chini. Mtu akaamua kufuta matokeo ya uchaguzi zanzibar na bado tukampa heshima.
- Maisha yanapanda kasi sana bila ya sababu za msingi, mfumuko wa bei ktk mahitaji yetu ya msingi unaendelea kupaa, wakulima bado wana hali ngumu.
- Nishati ambayo ingekuza viwanda kwetu imekuwa ni shida.
- Tumeshindwa kuendesha bandari n.k
Muda wa kubishana na Wakenya ni heri tuwekeze mitandaoni ili kuonesha serikali hatufurahishwi na utendaji wake.