Kenya vs Zanzibar, japo mie mzalendo, lakini Wazenji mnastahili

"shekhe wangu vijana wan'cheza vizuri kweli kweli...hawa wakenya tutawafunga tuh"..in Zanzibar swahili accent
 
vipi? sayansi ya kiafrika ilianguka
 
vipi? sayansi ya kiafrika ilianguka
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, eti sayansi ya kiafrika!...
Ila Wazanzibar wamejitahidi sana, leo ilikuwa ni mechi ya wababe wa Kilimanjaro Stars (Tanzania Bara)...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…