Kenya vs Zanzibar, japo mie mzalendo, lakini Wazenji mnastahili

Kenya vs Zanzibar, japo mie mzalendo, lakini Wazenji mnastahili

Leta matokeo

d0c1094d6a4aa4823a31e818f6d16c7d.jpg
 
"shekhe wangu vijana wan'cheza vizuri kweli kweli...hawa wakenya tutawafunga tuh"..in Zanzibar swahili accent
 
sidhani kama usiku wa kuamkia leo wazee wa kinzanzibar walilala.

kwa ninavyowajua watu wa visiwa vya unguja,watakuwa wamepasua nazi nyingi sana sambamba na kufanya makafara ya kimila ili washinde hii game ya leo.

mpira wa kiafrika bila ku-apply sayansi ya kiafrika hauwi mtamu.[emoji23] [emoji23]
vipi? sayansi ya kiafrika ilianguka
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom