Kenya waagiza sukari na unga kutoka Israel

Waisrael sio wa kuwaamini watawauzia sumu
 
Na nynyi mmejitosheleza kwanza?

ogimage.png
Hizi wfp imf world banks etc zina makosa lukuki sana. Sema kwa sababu zinawa favour mara nyingi, i wont make sense in yo head.
 
Mbona msilete hizo ambazo hazina makosa, yenye ukweli, badala ya kuahinda kupinga hizi data?
Zinatufavor kwnn? Zingeweka takwimu zao zinazoashiria Tz iko katika hali njema si mngezikubali tu?

Hata kama zina makosa (na sikatai, they can never be perfect), ni kwann basi kila shirika zinaonyesha Tz ikiwa nyuma ya Kenya kwenye karibu kila suala la maendeleo?
Kwwli hizi mashirika zote zinaweza kuwa zinapendelea Kemya? Ili iweje?
 
Ili iweje? Who knows.
Yaani na ww unaamini iyo report ya wfp, Kenya mna nafuu zaidi ya Tz. Mm ni mkulima mkuu, ninaishi arusha na moshi. Wateja wanaongezeka kutokea Kenya. Tunafanya biashara, tunaongea. Price za msosi Tz zimepanda recently, ila haijafikia za kwenu, na hiyo bei imepanda kwa sababu kuu mbili, demand kutoka kwenu imekuwa kubwa, na mvua zilichelewa kunyesha.
Sasa ww unakuja na data za wazungu hapa, watu tupo ardhini tunashuhudia.
Amini upendalo
 
kuna vitu vikubwa viwili vya kujifunza hapa
1.Tumezungukwa na nchi ambazo zina uhaba mkubwa sana wa njaa, ndio maana chakula kinavushwa kimagendo kwenda nchi jirani hali inayosababisha bei kupanda na baadhi ya maeneo yanakabiliwa njaa.
2.Israel ni nchi ambayo ardhi yake ilikuwa na miamba lakini wanazalisha chakula mpaka cha ziada kutuuzia, sisi tuna ardhi ya kutosha kwanini tunashindwa kuzalisha chakula cha kutosha? inabidi twende tukajifunze na kuiba teknologia wao wanayotumia.
...Sasa hiyo na.1 si ni fursa sasa? Why wakulima wasipate subsidies ili wafanye mechanized farming, irrigation etc ili kufanya mass production na ku capture hiyo market opportunity badala ya kuigeuza na kufunga mipaka?
 
sasa tukinunua kutoka kwenu,,, we huoni kama tutawamalizia kabisa maghala yenu ya chakula kisha muanze kuhangaika. hicho kiuchumi chenu kidogo sana tuliza boli. Ldc
Tatizo lenu mnajifanya smart sana kumbe ni zeros, sasa kama kipo Tanzania mnachokihitaji kwanini msinunue Tanzania japo kwa idadi fulani kisha hio nyengine mkaagize kwa wengine kama majirani au kama hawana mkaagiza uko mbali? au hamujui efficiency nyie katika Serikali yenu? Au ndio mnatafuta sifa za kijinga?
 
Nyinyi ndio hamnunui vitu nje, si mkona uhaba wa sukari ama hio hujui?
Ni wafanya biashara ndio wana import sukari kuuza, serikali ikazuia, lakini imeachia mana imeona kama sukari ndani ya nchi haijitoshelezi. Sikumbuki kuwa Serikali kama serikali imeagiza kitu kutoka mbaliii wakati majirani zetu wanaweza kutupatia hizo supplies. Au kama wewe unakumbuka nijuilishe
 
Cha msingi hii GDP kubwa inatulisha hata kama mashamba yetu hayakututosheleza, ni kama leo umpigie makelele tajiri fulani eti kwanini ananunua chakula mbona asitegemee shamba lake mwenyewe. Hela zinakupa jeuri ya kununua kutoka nje.
Tajiri hanunui kipolo cha mchele kutoka UK, atakwenda zake dukani hapo hapo mtaa alipo anunue anachotaka kama kipo, kama hamna ataenda supermarket kununua, ataagiza nje mchele kwa idadi kubwa kufanya biashara. huyo Bill gate mwenyewe akitaka kununua pasta kwake haendi italy anatuma supermarfket tu USA. Ni kituko kufunga safari from mombasa kwenda Nairobi kununua kilo 2 za unga wa ngano wakati maduka mombasa yamekuzunguka. Hutokuwa tajiri utakuwa limbukeni tu
 
Na ninni kakwambia ya kwamba Kenya hazalishi bidhaa ya vyakula kuptia kilomo? Wewe unafikiri aina ya kilimo inayofanywa hapa Kenya ni ya cashcrops tu?

Na nynui kwanza ndo mko na visa vingi zaidi ya njaa ingawaje mna ardhi kubwa yenye rotuba kushinda nchi yoyote ile kanda hili.

ogimage.png
.
Pakitokea njaa TZ cha kwanza tunahimiza watu wajiingize kwenye kilimo, our first option is Agriculture, our second option is to import, but kwenu, first option Kuagiza mbali na Tanzania na EA kwa ujumla.
 
Ili iweje? Who knows.
Yaani na ww unaamini iyo report ya wfp, Kenya mna nafuu zaidi ya Tz. Mm ni mkulima mkuu, ninaishi arusha na moshi. Wateja wanaongezeka kutokea Kenya. Tunafanya biashara, tunaongea. Price za msosi Tz zimepanda recently, ila haijafikia za kwenu, na hiyo bei imepanda kwa sababu kuu mbili, demand kutoka kwenu imekuwa kubwa, na mvua zilichelewa kunyesha.
Sasa ww unakuja na data za wazungu hapa, watu tupo ardhini tunashuhudia.
Amini upendalo
Ndugu yangu, na hapa umejihakikishia ya kwamba umenipinha vilkvyo? Sisi wakenya hapa huwa tunasema nini kuhusu utegemezi wetu wa vyakula?
Baadhi ya vyakula vyetu huwa tunanunua kutoka nje, hasa mahindi. Na sisi kwetu kununua vyakula kutoka nje, ina maana taifa ina fedha za kutosha kuagiza vyakula kutoka nje na kujilisha vizuri tu. Na hizo pesa hivi zinatoka wapo kama sio kutokana na bidii yetu?

Hongera zako ewe mkulima mwenye mafanikio hivi. Lkn usiwahurumie hawa wakenya ambao wanazuru hapo shambani mwako in Isuzu 4X4s kuchukua mazao yako. Wewe fanya biashara, ukome hii panganga ya kutumia sababu hovyo hivi kudhihirisha ya kwamba ati Kenya iko na njaa.

FYI, sio WFP pekee ndio inayosema ya kwamba hali ya njaa Tz mbaya zaidi ya Kenya. Nasita kukuonyesha na za FAO na UNDP
 
Pakitokea njaa TZ cha kwanza tunahimiza watu wajiingize kwenye kilimo, our first option is Agriculture, our second option is to import, but kwenu, first option Kuagiza mbali na Tanzania na EA kwa ujumla.
Kenya inaagiza robo tu ya mahitaji yake ya chakula. Shida ya njaa sio kubwakubwa to "that extent", nikimnukuu tu huyo mkulu wenyu.

Kama ni kweli hayo yenyu ya kwamba Kenya, generaly, ni yenye njaa....nakuambia hivi sasa haingeweza kumudu kuwa na uchumi mkubwa kushinda hizi mataifa zote kwenye kanda hili. Ukielewa jinsi uchumi unajengwa,, basi utaelewa ya kuwa lishe bora ndilo ngunzo muhimu katika hili shugli nzito la ujenzi wa uchumi.
Kila mwaka ni watu chini ya 2mln huripotiwa "kuface " starvation, unless mikakati kuwekwa kuepusha janga. Sasa milioni mbili ni asilimia ngapi ya population ya Kenya? Halafu, serikali mbio mbio huweka hizo mikakati ya kuagiza chakula kutoka nje kuwapa hawa mamdugu zetu, ambao karibu wote wanatoka yale maeneo kame ama ni wakimbizi kutoka nje, kama Somalia au sSudan!
 
Uchumi huo mnaojisifia lakini still watu wapo kwenye slums, badala ya kupungua inaongezeka. uchumi gani huo? au ni uchumi wa serikali sio wa wananchi? I still dont get it, halfa of your population lives in slums, more than the weak economic country (Tanzania). What is the logic? :-O
 
Duh! Njaa mbaya apo wana import GMO products from.....
Mwisho kilogram 6 dah hii Kali vipi km mtu anfamilia kubwa? Ndo maana viKenya vimekonda sana kumbe vimelimitiwa kula? Yani hawa kila Mwaka njaa njaa njaa njaa Next time mtakula Standard gauge zenu maana njaa haina Ruo wala Kikuyu...
 
Sasa slums na kwetu kuagiza vyakula wapi na wapi? Wivu yenyu ya pesa tatu inwafanya kupovuka mdomoni kila mnapofungua hivyo midomo vyenyu havijawahi pata mswaki tangu 1994, kuzungumzia masuala ya Kenya. Nyinyi Kenya ni changamoto mnapenda kuzungumzia, mambo ya maendeleo na ifanisi ya Kenya huwapa uwele matumboni.

Endeleeni kujifajiri ati Kenya iko na slums, lakini ukweli ndugu upo palepale....Kenya ndio nchi yenye uchumi na maendeleo zaidi Africa madhariki na kati, kama hilo kinakutia....er er (and what is that kiswahili word for nausea yawa?), tapika!
Uchumi huo mnaojisifia lakini still watu wapo kwenye slums, badala ya kupungua inaongezeka. uchumi gani huo? au ni uchumi wa serikali sio wa wananchi? I still dont get it, halfa of your population lives in slums, more than the weak economic country (Tanzania). What is the logic? :-O
 
Sasa slums na kwetu kuagiza vyakula wapi na wapi? Wivu yenyu ya pesa tatu inwafanya kupovuka mdomoni kila mnapofungua hivyo midomo vyenyu havijawahi pata mswaki tangu 1994, kuzungumzia masuala ya Kenya. Nyinyi Kenya ni changamoto mnapenda kuzungumzia, mambo ya maendeleo na ifanisi ya Kenya huwapa uwele matumboni.

Endeleeni kujifajiri ati Kenya iko na slums, lakini ukweli ndugu upo palepale....Kenya ndio nchi yenye uchumi na maendeleo zaidi Africa madhariki na kati, kama hilo kinakutia....er er (and what is that kiswahili word for nausea yawa?), tapika!
Nchi yenye Uchumi Mkubwa Africa mashariki na Kati.
Meanwhile
[emoji116] [emoji116] [emoji116]

Number of Kenyans going hungry doubles to three million
 
Tajiri hanunui kipolo cha mchele kutoka UK, atakwenda zake dukani hapo hapo mtaa alipo anunue anachotaka kama kipo, kama hamna ataenda supermarket kununua, ataagiza nje mchele kwa idadi kubwa kufanya biashara. huyo Bill gate mwenyewe akitaka kununua pasta kwake haendi italy anatuma supermarfket tu USA. Ni kituko kufunga safari from mombasa kwenda Nairobi kununua kilo 2 za unga wa ngano wakati maduka mombasa yamekuzunguka. Hutokuwa tajiri utakuwa limbukeni tu

Imetubidi tufuate mahindi hadi nchi za mbali kwa sababu hizi
- Kwetu kuna ukame
- Majirani zetu wao pia wanaisoma namba, Tanzania hata sukari ni balaa hivyo hawana ubavu wa kutuuzia chochote
- Tuna hela za kutosha kununua kutoka nje na mbali maana uchumi wetu mkubwa.
 
Hii ingekuwa fursa nzuri kwa tanzania kuwekeza zaidi kwenye kilimo, sa hvi tungekuwa tunawalisha wana afrika mashariki, shida sisi huwa hatuoni fursa achana na vi wonder piga ma laki ya ekari za mahindi
 
Back
Top Bottom