Kwenye swala la kuwa na gari huku unaishi kwnye upangaji sio tatizo as long as upo comfortable.Mungeanza utaratibu wa kuwezesha mazao yakapatikana kupitia kilimo na hio GDP yenu kwa kutengeza mazingira ya kilimo kwanza sio kubwabwaja tu kumbe nyumbani njaa.
Una range rover unaishi kwenye chumba cha kupanga.... afu unajisifia maendeleo
Umeona nimezungumzia gari aina gani? sijazungumzia mark2 wala crown... nimetaja kitu Range rover, a car that costs more than 100 million, this is not a case of comfortability, its a case of limbukeni. Buying a car over having your own house as a security for your life? Think twiceKwenye swala la kuwa na gari huku unaishi kwnye upangaji sio tatizo as long as upo comfortable.
Tanzania tumeiosma namba baada ya serikali kuzuia sukari isiingie kutoka nje ambayo wafanya biashara ndio walikuwa wakileta, hata hivo wafanya biashara walikuwa wakificha sukari wakitaka wauze kwa bei ya juu.Imetubidi tufuate mahindi hadi nchi za mbali kwa sababu hizi
- Kwetu kuna ukame
- Majirani zetu wao pia wanaisoma namba, Tanzania hata sukari ni balaa hivyo hawana ubavu wa kutuuzia chochote
- Tuna hela za kutosha kununua kutoka nje na mbali maana uchumi wetu mkubwa.
Kilimo in sayansi...nchi yetu imetupilia mbali swala LA kilimo zimebakia Sera ambazo hazitekelezwi,wakulima wamekata tamaa watu wanalima wanapata mazao soko linawaangusha,in short there is no support from gov..kuna vitu vikubwa viwili vya kujifunza hapa
1.Tumezungukwa na nchi ambazo zina uhaba mkubwa sana wa njaa, ndio maana chakula kinavushwa kimagendo kwenda nchi jirani hali inayosababisha bei kupanda na baadhi ya maeneo yanakabiliwa njaa.
2.Israel ni nchi ambayo ardhi yake ilikuwa na miamba lakini wanazalisha chakula mpaka cha ziada kutuuzia, sisi tuna ardhi ya kutosha kwanini tunashindwa kuzalisha chakula cha kutosha? inabidi twende tukajifunze na kuiba teknologia wao wanayotumia.
AH brother trying to run away from what you started. Si mmekuja hapa kujisifia uchumi wenu mkubwa uchumi wenu hivi, nyie ndio bora EA nzima. Nyie ndio hamuwezi kuanzisha mada kama hamjaitaja Tanzania japo habari haihusu. Mnaweza mkaja na habari mkasema "Mamalaka ya hali ya hewa kenya inatabiri upepo wa kiasi sio kama ule wa Tanzania" Yaani Tanzania kwenye habari zenu haitoki kwenye midomo yenu, so the people who never brushed their teeth since the start of their nation is you guys. Why dont you act like real men? may be if you did your women wouldn't beat you up. But You cant come with Kenya News without mentioning Tanzania, thats being a mama boy.Sasa slums na kwetu kuagiza vyakula wapi na wapi? Wivu yenyu ya pesa tatu inwafanya kupovuka mdomoni kila mnapofungua hivyo midomo vyenyu havijawahi pata mswaki tangu 1994, kuzungumzia masuala ya Kenya. Nyinyi Kenya ni changamoto mnapenda kuzungumzia, mambo ya maendeleo na ifanisi ya Kenya huwapa uwele matumboni.
Endeleeni kujifajiri ati Kenya iko na slums, lakini ukweli ndugu upo palepale....Kenya ndio nchi yenye uchumi na maendeleo zaidi Africa madhariki na kati, kama hilo kinakutia....er er (and what is that kiswahili word for nausea yawa?), tapika!
Upungufu wa unga, sukari na maziwa sio uhaba mkubwa wa njaa.
The same statistics that indicate that 56% of the Kenyan urban population live in slums also state that 72% of Tanzanians in urban areas live in slums, that 67% of them are desperately poor and that they have the most cases of malnutrition (Tamzania comes third in Africa).......so, DAYOOM!AH brother trying to run away from what you started. Si mmekuja hapa kujisifia uchumi wenu mkubwa uchumi wenu hivi, nyie ndio bora EA nzima. Nyie ndio hamuwezi kuanzisha mada kama hamjaitaja Tanzania japo habari haihusu. Mnaweza mkaja na habari mkasema "Mamalaka ya hali ya hewa kenya inatabiri upepo wa kiasi sio kama ule wa Tanzania" Yaani Tanzania kwenye habari zenu haitoki kwenye midomo yenu, so the people who never brushed their teeth since the start of their nation is you guys. Why dont you act like real men? may be if you did your women wouldn't beat you up. But You cant come with Kenya News without mentioning Tanzania, thats being a mama boy.
And mimi sijifariji kuwa kenya iko na slums, because thats a fact, 56% of your population are living in Slums, then you are coming here bragging being the best economic developed country 😀 Its a Shame, if we look at those statistics it shows this economic you are talking about benefits the leaders and not you ordinary citizens.
Kwa vile mmeguswa ndipo sasa na uchumi wenu ndio unajidai having slums has nothing to do with your development! Poor you guys
It's still about comfortability.Umeona nimezungumzia gari aina gani? sijazungumzia mark2 wala crown... nimetaja kitu Range rover, a car that costs more than 100 million, this is not a case of comfortability, its a case of limbukeni. Buying a car over having your own house as a security for your life? Think twice
I should have elaborated what i meant. Imagine you own a range rover living in a rented house somewhere may be in Jangwani. Anyways even if you stay in masaki, i think the person who owns his house is more comfortable than the one who rented it. Labda uwe mgeni nchini i'll understand. The best life formula is to know anytime you might fall. Tunaona watu wanavohangaika kulipa kodi ya nyumba, imagine this person angekuwa ana nyumba yake mwenyewe. Nyumba ina stara, and a house is a big investment. I believe people workong legal jobs wish to have their own houseIt's still about comfortability.
Taking myself as an example, what I pay for rent is a bit higher than what my tenant pays me for my house. I just preferred being closer to town so I spend alittle more time at home and with my family than on the road. So ningejua, iyo hela niliojengea I could have invested elsewhere.
Now the range rover guy could be living in a rental apartment somewhere in masaki but has heavily invested in say government bonds. So yes he might not own a house per say but he is comfortable in his rented apartment.
"Kujenga" might not be a univeral ticket to success, life doesn't have one formula that works for everybody what's important is how comfortable and happy you is.
The same statistics that indicate that 56% of the Kenyan urban population live in slums also state that 72% of Tanzanians in urban areas live in slums, that 67% of them are desperately poor and that they have the most cases of malnutrition (Tamzania comes third in Africa).......so, DAYOOM!
anaehangaika kulipa rent is either overeaching his means au mfumo wa ulipaji wa kodi ndio sio rafiki. a house is a big investment but sure it's not the biggest.I should have elaborated what i meant. Imagine you own a range rover living in a rented house somewhere may be in Jangwani. Anyways even if you stay in masaki, i think the person who owns his house is more comfortable than the one who rented it. Labda uwe mgeni nchini i'll understand. The best life formula is to know anytime you might fall. Tunaona watu wanavohangaika kulipa kodi ya nyumba, imagine this person angekuwa ana nyumba yake mwenyewe. Nyumba ina stara, and a house is a big investment. I believe people workong legal jobs wish to have their own house
A house is a better security than a range roveranaehangaika kulipa rent is either overeaching his means au mfumo wa ulipaji wa kodi ndio sio rafiki. a house is a big investment but sure it's not the biggest.
That much I agree but what I meant was that owning a house is not a formula that works for everyone!A house is a better security than a range rover