Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho " CCM-Kenya"

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Nchini Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha siasa kiitwacho CCM-Kenya (Chama cha Mashinani-Kenya) ambacho kinaongozwa na Mh. Isaac Ruto.

Na kimejipanga kushiriki uchaguzi mkuu Wa Kenya mwaka huu 2017.

Tupe maoni yako juu ya hiki chama cha CCM Kenya.
 
Nchini Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha siasa kiitwacho CCM-Kenya (Chama cha Mashinani-Kenya) ambacho kinaongozwa na Mh. Isaac Ruto.

Na kimejipanga kushiriki uchaguzi mkuu Wa Kenya mwana huu 2017.

Maana yake ,ccm ina nguvu ,ni maarufu na inapendwa Africa mashariki na Africa kote.
 
Nchini Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha siasa kiitwacho CCM-Kenya (Chama cha Mashinani-Kenya) ambacho kinaongozwa na Mh. Isaac Ruto.

Na kimejipanga kushiriki uchaguzi mkuu Wa Kenya mwana huu 2017.
Tupe maoni yako juu ya hiki chama cha CCM Kenya.
Huu ni upunguani!
 
Ni sawa ila wavumilie wakianza.kutekwa maana kitaitwa Chama Cha Mauaji Kenya.
 
Wasikubali kutawaliwa na chama chochote kinachoanza na CC
 
HAhaaahaaa hiyo inaitwa usiempenda kaja!! Ngoja tusubiri huenda kitaanzishwa chama kingine kitaitwa CHADEMA-KENYA (Yaani chama cha Dekio makapeti)
Tafadhali chadema msinichacha wangwe mie bado mdogo sana Lakini sikai kimya
 
Chama Cha Mashinani=CCM. CCM ni kifupisho cha majina mengi sana inategemea kifupisho hicho kinahusika na jambo gani.
 
Nchini Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha siasa kiitwacho CCM-Kenya (Chama cha Mashinani-Kenya) ambacho kinaongozwa na Mh. Isaac Ruto.

Na kimejipanga kushiriki uchaguzi mkuu Wa Kenya mwana huu 2017.
Tupe maoni yako juu ya hiki chama cha CCM Kenya.
Mbona sisi tuliiga KANU? Na je, Mandela mbona aliiga wimbo wetu wa Taifa? Kuazima ni rukhsa.
 
Ni sawa ila wavumilie wakianza.kutekwa maana kitaitwa Chama Cha Mauaji Kenya.
Wangejua jinsi jina hilo lilivyo na gundu wasingelitumia kabisa. Ni sawa na uzae mtoto umuite Ibilisi
 
Back
Top Bottom