Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo.

Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao ambapo kila mwanafamilia atakuwa na kifurushi cha Tsh. Milioni 5.8 za matibabu ya nje, Tsh. Milioni 2.9 za uzazi, Tsh. Milioni 1.9 za matibabu ya meno na Tsh. Milioni 1.9 za Macho.

Huduma nyingine ni Patholojia, X-ray, Ultrasound, CT na MRI Scans, Radiotherapy, Physiotherapy ya wagonjwa wa ndani, Uchunguzi wa Maabara, Huduma ya Uuguzi Nyumbani, na Upasuaji wa Watoto. Ukomo wa Bima hiyo ni iwapo vita ya wenyewe kwa wenyewe itatokea.

=======================​

Attempts by the newly elected Members of Parliament to get insurance packages covering their massages and beauty treatments have failed.

The MP's employer, the Parliamentary Service Commission (PSC) insisted that cosmetic surgeries will only be only covered in the case of an accident.

Other expenses the lawmakers will foot include contamination by radioactivity from nuclear fuel, waste or fission pandemics, epidemics, natural disasters and unknown illnesses covering a wide geographical area excluding the Covid-19 pandemic.

They will also use their own money to pay for sanatoria, old age homes, places of rest and herbalist treatment. However, the lawmakers will get a cover which includes Ksh10 million in-patient per family.

From the money, each family member will have Ksh300,000 for outpatient, Ksh150,000 for maternity, Ksh100,000 for dental and Ksh100,000 for optical.

According to reports by Nation Africa, the Ksh10 million cover per family will provide for a comprehensive and flexible hospitalization.

They will be covered for treatment of injury and death caused by violent accidental external and visible means arising from war, invasion and acts of a foreign enemy.

“This is extended to provide medical treatment and last treatment arising from rebellion hostilities or warlike operations such as rebellion, revolution, insurrection, political risks, sabotage or military usurped power,” reads part of the cover.

This will include hospitalization charges, doctors (physician, surgeon and anesthetists) fees, intensive care and high dependency units, theatre charges, drugs, dressing, and internal and external surgical appliances.

Source: Kenyans
 
Mbuzi zingine hizi. Watu weusi wabinafsi sana. Tulistahili kuchapwa mijeledi
 
Back
Top Bottom