hawa watu sikuhizi, they are not even trying, unakuta mtu hata anadanganya live live .... anaeka porojo zozote ziko akilini bila kuangalia facts, alafu mwengine anakwote comment ya hizo uongi utadha i ndo ukweli............ yani bure kabisa, you cant even have a real debate with someone who is just spewing anything he/she can think off
Standard guage railway ni rail technology na wala sio transport technology...... SGR hua hizo reli ziko na umbali wa mita 1.4 hapo katikati....inaitwa standard kwasababu wajenzi wa reli duniani walikubaliana reli zote za mwendo wa high speed ziweze kua sawa (standard) ili nchi zaidi ya moja ziwe na uwezo wa kuunganisha reli zao kwasababu technolojia zake ni standard.... kama vile dunia nzima computer na laptop tofauti zinatengenezwa na kuwekwa standard USB port..........ili hata ukiwa na flash disk ya kampuni tfauti bado unaweza kutumia computer yoyoteStanadard gauge rail way are out dated transport technology! ethiopia tayari qana electeic rail ways, ikiwa nchi yetu ni tajiri kama tunavyo jinasibu why tusifuate njia ya ethiplopia!
Uliza demu wako anaelewa hio lughaHivi hapo umeongea kiswahili au kiluo?
hawa wasee ni mashoga sana unajaribu kuwaexplainia kitu kabla hajaelewa asharukia kitu ingine kwani wanakunywaga chai ya bangi na cookies za bangiUliza demu wako anaelewa hio lugha
Standard guage railway ni rail technology na wala sio transport technology...... SGR hua hizo reli ziko na umbali wa mita 1.4 hapo katikati....inaitwa standard kwasababu wajenzi wa reli duniani walikubaliana reli zote za mwendo wa high speed ziweze kua sawa (standard) ili nchi zaidi ya moja ziwe na uwezo wa kuunganisha reli zao kwasababu technolojia zake ni standard.... kama vile dunia nzima computer na laptop tofauti zinatengenezwa na kuwekwa standard USB port..........ili hata ukiwa na flash disk ya kampuni tfauti bado unaweza kutumia computer yoyote
ethiopia pia ni standard guage railway lakini yao wameongezea umeme badala ya kutumia diesel........ ethiopia wako na umeme mwingi sana, nchi zengine za EA bado hazina umeme wa kutosha kwa matumizi ya kawaida,
hawa wasee ni mashoga sana unajaribu kuwaexplainia kitu kabla hajaelewa asharukia kitu ingine kwani wanakunywaga chai ya bangi na cookies za bangi
Mkuu "urafiki huo ni kama ule wa mbuzi na nazi,hadi moja iparue enzake.."Mabehewa yapi? Mbona Rais alisema China ndio marafiki zetu?
Sasa tanzanians mnatuadvice kuhusu reli na yenyu hamjaiunda...stupid people ...yenyu bado iko on papersgood,lakini mlipokosea ni pale mlipolazimishwa na mchina kutumia standard zake simply kwaajili ya haraka haraka zenu, ufisadi, siasa za Uhuru, anyway ndani ya wiki tatu zijazo tutaanza ujenzi wa railway yetu kutokea Dar es salaam hadi Morogoro only about 200km lakini kwa fedha zetu wenyewe!hii itakuwa ni electrified na mkandarasi sio mchina,narudia tena kuwa mkandarasi sio Mchina!!baada ya kuanza ujenzi huu..hapo ndio Mchina atajua tunataka nini kwa fedha anayotukopesha hata kama mkandarasi atakuwa yeye kwa zaidi ya 1200km zinazobaki.
Lol tafadhali can people read difference between Tram and RailEthiopia modern railway started construction during 2008
Kenyan modern train started construction during 2015 more expensive than Ethiopian
Ukiwa mgeni tulia ujuzwe.hizo thread zote za kenya hujaona kituyenu inaanza lini???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wa tz mna maneno...[emoji1] [emoji1] [emoji1] hizi treni za majirani zetu mchina kawafanya vibaya ndio ktkt ya kichwa cha treni kafunga balbu kama jicho la shetani
Ama inajengwa juu ya hewa.Ukiwa mgeni tulia ujuzwe.hizo thread zote za kenya hujaona kitu