Kenya waingizwa mkenge ujenzi wa Reli

Kenya waingizwa mkenge ujenzi wa Reli

Hivi hapo umeongea kiswahili au kiluo?
hawa watu sikuhizi, they are not even trying, unakuta mtu hata anadanganya live live .... anaeka porojo zozote ziko akilini bila kuangalia facts, alafu mwengine anakwote comment ya hizo uongi utadha i ndo ukweli............ yani bure kabisa, you cant even have a real debate with someone who is just spewing anything he/she can think off
 
Stanadard gauge rail way are out dated transport technology! ethiopia tayari qana electeic rail ways, ikiwa nchi yetu ni tajiri kama tunavyo jinasibu why tusifuate njia ya ethiplopia!
 
Standard guage railway ni rail technology na wala sio transport technology...... SGR hua hizo reli ziko na umbali wa mita 1.4 hapo katikati....inaitwa standard kwasababu wajenzi wa reli duniani walikubaliana reli zote za mwendo wa high speed ziweze kua sawa (standard) ili nchi zaidi ya moja ziwe na uwezo wa kuunganisha reli zao kwasababu technolojia zake ni standard.... kama vile dunia nzima computer na laptop tofauti zinatengenezwa na kuwekwa standard USB port..........ili hata ukiwa na flash disk ya kampuni tfauti bado unaweza kutumia computer yoyote
ethiopia pia ni standard guage railway lakini yao wameongezea umeme badala ya kutumia diesel........ ethiopia wako na umeme mwingi sana, nchi zengine za EA bado hazina umeme wa kutosha kwa matumizi ya kawaida,
 
Uliza demu wako anaelewa hio lugha
hawa wasee ni mashoga sana unajaribu kuwaexplainia kitu kabla hajaelewa asharukia kitu ingine kwani wanakunywaga chai ya bangi na cookies za bangi
 
good,lakini mlipokosea ni pale mlipolazimishwa na mchina kutumia standard zake simply kwaajili ya haraka haraka zenu, ufisadi, siasa za Uhuru, anyway ndani ya wiki tatu zijazo tutaanza ujenzi wa railway yetu kutokea Dar es salaam hadi Morogoro only about 200km lakini kwa fedha zetu wenyewe!hii itakuwa ni electrified na mkandarasi sio mchina,narudia tena kuwa mkandarasi sio Mchina!!baada ya kuanza ujenzi huu..hapo ndio Mchina atajua tunataka nini kwa fedha anayotukopesha hata kama mkandarasi atakuwa yeye kwa zaidi ya 1200km zinazobaki.
 
jitahidi kupunguza ukali wa maneno brother,You are better than that.
 
Mabehewa yapi? Mbona Rais alisema China ndio marafiki zetu?
Mkuu "urafiki huo ni kama ule wa mbuzi na nazi,hadi moja iparue enzake.."
*Ndo jinsi wanavotupiga,na zaidi wanapasua kote;ukianzia "cash Budget + capital Budget + miscalleneous expenses=Bingo kwa Mchina"tunawapa fungu lote...wametufanya dekio kabisa..ndo urafiki mkuu
 
good,lakini mlipokosea ni pale mlipolazimishwa na mchina kutumia standard zake simply kwaajili ya haraka haraka zenu, ufisadi, siasa za Uhuru, anyway ndani ya wiki tatu zijazo tutaanza ujenzi wa railway yetu kutokea Dar es salaam hadi Morogoro only about 200km lakini kwa fedha zetu wenyewe!hii itakuwa ni electrified na mkandarasi sio mchina,narudia tena kuwa mkandarasi sio Mchina!!baada ya kuanza ujenzi huu..hapo ndio Mchina atajua tunataka nini kwa fedha anayotukopesha hata kama mkandarasi atakuwa yeye kwa zaidi ya 1200km zinazobaki.
Sasa tanzanians mnatuadvice kuhusu reli na yenyu hamjaiunda...stupid people ...yenyu bado iko on papers
 
Ethiopia modern railway started construction during 2008
adis.jpg

Kenyan modern train started construction during 2015 more expensive than Ethiopian
81343119fe15150038a422b2225104fa.png
Lol tafadhali can people read difference between Tram and Rail

Ethiopian Tram

17km long and only in Addis ababa ndio umeweka hapo juu hujaonyesha
Ethiopian Train

Smh ushamba aki
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hizi treni za majirani zetu mchina kawafanya vibaya ndio ktkt ya kichwa cha treni kafunga balbu kama jicho la shetani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wa tz mna maneno...
 
Back
Top Bottom