Kenya waingizwa mkenge ujenzi wa Reli

Kenya waingizwa mkenge ujenzi wa Reli

Wewe mada kama hizi huwa nakupuuza maana sio level yako na huna uwezo na elimu ya kuzijadili.

Uturuki deficit yao ya matumizi ya serikali ipo juu, sasa surplus ya kutoa mikopo kiasi cha kujenga reli ya SGR ipo wapi. Fanya comparison ya national debt % of GDP. Hata sijui kama utaelewa nini ninaongea kuhusu.

Usikurupe tu na yale mnaambiwa pale Lumumba ya kuandika kwenye mitandao, unafaa kuhoji pia kwa akili zako.
Hahahaha, you are not being fair to the guy.
 
Ndio maana Rais wetu Magufuli amewashtukia wachina. Watanzania bado tuna kumbukumbu ya kashfa ya mabehewa ijapokuwa mjadala huo kwa sasa haupo
Ndiyo kawaida yenu kukubali makosa ikiwa tu aliyetenda si huyu wa sasa.... hata mkuu wa sasa, siku akiondoka madarakani ndo mtaanza kuhesabu makosa yake. Kwa sasa ni mtakatifu na hakosei
 
Lakini tuwe wakweli jamani, zile treni za Kenya zina sura mbaya sana inasikitisha kuona mradi wa 2016 materials ya 1784 duh horrible trash ugly as troll.
 
Ethiopia modern railway started construction during 2008
adis.jpg

Kenyan modern train started construction during 2015 more expensive than Ethiopian
81343119fe15150038a422b2225104fa.png
 
JF really sucks these days. What happened to all the sharp debators from Tz who were always keeping the Kenyans here on the edge with their very well informed arguments? These days we are clearly arguing with a bunch of ignoramus kids, which is terrible!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hizi treni za majirani zetu mchina kawafanya vibaya ndio ktkt ya kichwa cha treni kafunga balbu kama jicho la shetani
You know this train was used for construction of the rail ...wacha upumbavu ...stupid idiot .unajipea orgasm hapa na vitu vya uongo .
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hizi treni za majirani zetu mchina kawafanya vibaya ndio ktkt ya kichwa cha treni kafunga balbu kama jicho la shetani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JF really sucks these days. What happened to all the sharp debators from Tz who were always keeping the Kenyans here on the edge with their very well informed arguments? These days we are clearly arguing with a bunch of ignoramus kids, which is terrible!

Very soon i'll be a lurker on these boards, debating with the likes of motochini and the new bunch of kids gets on my nerves, the quality of arguments is wanting and you can't learn any new stuff on JF. We are currently trying to get the Kenyan subreddit active on reddit, you are very much invited. it's Friday bout to get my drunk on, fuc.k this forum.
 
Usikasirike mkuu treni mlizoagiza safi kabisa nadhani kwa afrika mashariki na kati nyie ndio bora mpo juu kwa kweli pia tunawaomba japo hata siku moja mseme ule mlima wenu wa k'njaro kuwa ni wa tz japo na cc tujisikie kuwa na mlima nzuri kama wa kwenu.
 
Very soon i'll be a lurker on these boards, debating with the likes of motochini and the new bunch of kids gets on my nerves, the quality of arguments is wanting and you can't learn any new stuff on JF. We are currently trying to get the Kenyan subreddit active on reddit, you are very much invited. it's Friday bout to get my drunk on, fuc.k this forum.
I will join Reddit soon, thanks for the invite. I am tired of all these juvenile comments being posted by these kids here. It's making me sick some times.
 
Then why don't you f.uck off now? What the hel r u waiting for??
Sorry if I touched some raw nerves here. U think u are one of the juvenile posters I was referring to here? I mentioned nobody. If the shoes seem to fit, go ahead and wear them!
 
JF really sucks these days. What happened to all the sharp debators from Tz who were always keeping the Kenyans here on the edge with their very well informed arguments? These days we are clearly arguing with a bunch of ignoramus kids, which is terrible!
hawa watu sikuhizi, they are not even trying, unakuta mtu hata anadanganya live live .... anaeka porojo zozote ziko akilini bila kuangalia facts, alafu mwengine anakwote comment ya hizo uongi utadha i ndo ukweli............ yani bure kabisa, you cant even have a real debate with someone who is just spewing anything he/she can think off
 
Hawa ndugu zetu huwa hawakosolewi....haya hivyo 'vichwa' ni vizuri
 
Back
Top Bottom