Kenya wajifungia

Kenya wajifungia

.
kenya imetangaza kuanzia siku ya ijumaa ni marufuku kutoka nje kuanzia saa moja jioni mpaka saa 11 alfajiri,whether you like it or not (in Uhuru's voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20200325-WA0073.jpeg

Jr[emoji769]
 
Life is Approaching to bee seen Damn miserable.
God save Us. Your creatures, Your Children
 
hawa watu Miguna na Raila kumbe walishakosana?,walikuwa marafiki wakubwa sana juzijuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwapa wapiga picha wakati mgumu sana kwenye ile hafla ya 'kuapishwa' kwa RAO. Kitambi chake kilikuwa kinatokelezea kwenye picha zote. Aliwahi nafasi ya First Lady kwenye hafla hiyo na akakomalia hapo. [emoji1]
yhyRwkH5BTwanjiku.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom