Kenya waliiga architectural features za Tanzania parliament

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Yeah of course parliament is the powerful pillar kama nyenzo muhimu ya representative democracy, Tanzania ndio nchi ya kwanza katika region kuwa na ukumbi wa bunge wa kisasa zaidi

Na ni kati ya kumbi chache za bunge Africa zilizo katika technology ya kisasa,
Kenya walipanua ukumbi wao wa bunge baada ya katiba mpya 2010 baada ya kuongeza viti vingi vya wawakilishi jambo lililopelekea ukumbi wa zamani kushindwa kuendelea na jukumu lake la awali,

Walijenga ukumbi ukakanilika miaka ya juzi juzi (Kwa mamilioni ya dollar kama kawaida yao kapigwa refer SGR) tu lakini ukijaribu kuangalia utajua kuna baadhi ya features zinafanana na ukumbi wa Tanzania kama mpangilio wa rangi za bendera kwenye floor, taa za kwenye floors, sitting plan, design ya viti na rangi zake na mengine mengi.

Japo bado ukumbi wa Dodoma unasalia kuwa the best in the region.
 
Mambo mengine hayana tija kushindanisha.Wananchi wawe na maisha mazuri ilo ndo la muhimu.Kwani watu wanakula ayo mabunge.
 
Si kila mara ni kubisha kila kitu...

Ukumbi mzuri unasaidia uchumi wa nchi na nini sasa
Sio kubishana mkeiii this is a critical factor kufanana kwa hizo features sio coincidence so that's news
 
Saa zingine fanyanga utafiti kwanza usijejiaibisha bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…