Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Watu 8 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na COVID19 kwa siku ya Jumamosi na Jumapili na kufanya idadi ya waliofariki kwa COVID19 kufikia 1,763
Hadi sasa Kenya imerekodi jumla ya watu 100,773 ambao wamepata maambukizi ya Corona Virus tangu kuingia kwa ugonjwa huo, huku idadi ya waliopima ikiwa 1,186,951
Afrika kwa sasa inakabiliwa na Virusi vipya ambavyo vinatajwa kuwa na asili ya Afrika Kusini ambavyo vinatajwa kuwa hatari zaidi