Kenya wamefungwa kwa taabu Sana 36 - 0 na Namibia

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kwenye mchezo wa rugby timu ya taifa ya Kenya imepigwa kwa taabu Sana goli 36 kwa bila na timu ya taifa ya Namibia.

Ikumbukwe kuwa timu ya Namibia huwa Ni utopolo kwa timu ya Tanzania, ambapo mechi ya mwisho kukutana Namibia alilala goli 32.
 
Hahaha! acha tu nicheke, eti Tanzania kwenye rugby, wanaume bwege wenye wanabugia chipsi mayai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…