Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo spika wa bunge akiwa nani..🤔🤔🤔tuache blah blah na kudeal na vitu rahisi rahisi..
tuna madini ya kila aina yametapakaa hapa, tuanze uwekezaji wa nguvu kwenye uchimbaji wa madini, uchimbaji wa chuma gas na mafuta...halafu muone kama dunia haitatuheshimu..
Nyie mmejifungia kufanya Promo ya Wanasiasa InstaKenya wametuzidi kwenye promotion /marketing sana kitambo kirefu.
Una hiyo Teknolojia au ulidhani utachimba kwa jembe?Hapo spika wa bunge akiwa nani..🤔🤔🤔
Hapa kinashindikana nn?Investment za wakenya zinafanywa na ma tycoon wafanyabiashara na wanasiasa ambao wamehodhi ardhi kubwa na wengine wamefanya ufisadi na kuwa matajiri wa kupindukia ambao wengine ni mabeberu ya kiingereza yaliyoishi na kuwekeza huko miaka mingi. Kwa hiyo tunapofanya initiative zetu tusiwafikirie sana wakenya.......
Hakijashindikana kitu, ila tunapofanya initiative zetu tusiwaige sana wakenya maana wahenga walisema 'ukiiga kunya kwa tembo.......'Hapa kinashindikana nn?
Kenya ndiye muuzaji mkubwa wa Tanzanite kuliko Tanzania, tuanzie hapo. Miaka ya hamsini mpaka sabini bidhaa za Kenya ndizo zilishika soko la Tanzania, na matangazo ya bidhaa za Kenya redioni yalikuwa sehemu ya burudani, hii ni kwa wale wasiolijua.tuache blah blah na kudeal na vitu rahisi rahisi..
tuna madini ya kila aina yametapakaa hapa, tuanze uwekezaji wa nguvu kwenye uchimbaji wa madini, uchimbaji wa chuma gas na mafuta...halafu muone kama dunia haitatuheshimu..
Kenya wanasiasa wanaiba wanawekeza hapo hapo Kenya. Wananchi wanapata kazi. Huko kwingine wanaiba na kupeleka Benki za UswisiHakijashindikana kitu, ila tunapofanya initiative zetu tusiwaige sana wakenya maana wahenga walisema 'ukiiga kunya kwa tembo.......'
Bongolala ni shida, ni kama akili za wanaija.....Kenya wanasiasa wanaiba wanawekeza hapo hapo Kenya. Wananchi wanapata kazi. Huko kwingine wanaiba na kupeleka Benki za Uswisi
Tz ya CCM wanajiibia wanaficha kwa wazungu, kisha wanaringa!Kenya wanasiasa wanaiba wanawekeza hapo hapo Kenya. Wananchi wanapata kazi. Huko kwingine wanaiba na kupeleka Benki za Uswisi
Hizo hotel zinaajiri cheap labour, professional labour hawezi kuwa kauli mbaya,udokozi au wizi.Tatizo la Tanzania ni Poor Customer Care/ Service
Hata ujenge hotel nzuri kiasi gani udokozi, wizi, kauli mbaya zinafukuza wateja.
Wakenya wako vizuri kwenye kumtafuta na kumtunza mteja
Maendeleo hayana chama ipende ccmTz ya CCM wanajiibia wanaficha kwa wazungu, kisha wanaringa!
Acha visingizio, na wewe ni mmoja wao.Hizo hotel zinaajiri cheap labour, professional labour hawezi kuwa kauli mbaya,udokozi au wizi.