Kenya wamewekeza kwenye utalii, design za hoteli kwenye mbuga na matangazo yao yanaeleweka

Kenya wamewekeza kwenye utalii, design za hoteli kwenye mbuga na matangazo yao yanaeleweka

Kenya wakishaiba tu ama awekeze kwao au akaninie benki huko Congo. Hapo Tangonyeke, wanasiasa wengi sio smart mtu anaiba kwa uoga pia hela insidhia kupeleka vimada Dubai na Uturuki kuweka wezere bandia
 
tuache blah blah na kudeal na vitu rahisi rahisi..

tuna madini ya kila aina yametapakaa hapa, tuanze uwekezaji wa nguvu kwenye uchimbaji wa madini, uchimbaji wa chuma gas na mafuta...halafu muone kama dunia haitatuheshimu..
Mambo siyo rahisi kama unadhani. Waswahili wanasema kusema siyo sawa na kutenda. Tena hivi ulivyoorodhesha vinaweza kuwa janga la nchi mpaka kila mtu akalaani na kusema ni bora tusingekuwa navyo.
 
Investment za wakenya zinafanywa na ma tycoon wafanyabiashara na wanasiasa ambao wamehodhi ardhi kubwa na wengine wamefanya ufisadi na kuwa matajiri wa kupindukia ambao wengine ni mabeberu ya kiingereza yaliyoishi na kuwekeza huko miaka mingi. Kwa hiyo tunapofanya initiative zetu tusiwafikirie sana wakenya.......
True hata mimi nikikuww nataka kuost hichi ulichoandika
 
Kama hadi huyo bilionea kawekeza kwenye hotel huko basi wenzetu wapo mblali.
 
Tanzania huwa tunasoma kutumikia chama na serikali aka CCM na serikali yake..
Siku hizi tunasoma pia ili kuwa mashabiki wa kisiasa..
Ukisema Tanzania unakosea mkuu,hilo tangazo ni la mmiliki binafsi mwenye ukwasi mkubwa na anatangaza kwenye shirika lake la ndege na si o kwamba serikali ya Kenya ndio inatangaza.
 
Tanzania hatujafanya makubwa kwenye biashara ya utalii,hasa kwenye kujitangaza.
Nakumbuka kulikuwa na Waziri wa Utalii aliweka picha yake kwenye bango la kuitangaza Tanzania JNIA
Na ukizingatia tuna vivutio vizuri kushinda hata hao majirani wetu.
 
Tanzania hatujafanya makubwa kwenye biashara ya utalii,hasa kwenye kujitangaza.
Nakumbuka kulikuwa na Waziri wa Utalii aliweka picha yake kwenye bango la kuitangaza Tanzania JNIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida ya wabongo ni ushamba mwingi. Halafu kiongozi akipewa shavu anafocus zaidi kwenye kuuza nyago na kuhakikisha anatumia vema nafasi yake kumake money na kugonga vimwana.

Hakuna kuweka public interest hapo.
 
Back
Top Bottom