Kenya wamewekeza kwenye utalii, design za hoteli kwenye mbuga na matangazo yao yanaeleweka

Tanzania huwa tunasoma kutumikia chama na serikali aka CCM na serikali yake..
Siku hizi tunasoma pia ili kuwa mashabiki wa kisiasa..
 
tuache blah blah na kudeal na vitu rahisi rahisi..

tuna madini ya kila aina yametapakaa hapa, tuanze uwekezaji wa nguvu kwenye uchimbaji wa madini, uchimbaji wa chuma gas na mafuta...halafu muone kama dunia haitatuheshimu..
 
Investment za wakenya zinafanywa na ma tycoon wafanyabiashara na wanasiasa ambao wamehodhi ardhi kubwa na wengine wamefanya ufisadi na kuwa matajiri wa kupindukia ambao wengine ni mabeberu ya kiingereza yaliyoishi na kuwekeza huko miaka mingi. Kwa hiyo tunapofanya initiative zetu tusiwafikirie sana wakenya.......
 
tuache blah blah na kudeal na vitu rahisi rahisi..

tuna madini ya kila aina yametapakaa hapa, tuanze uwekezaji wa nguvu kwenye uchimbaji wa madini, uchimbaji wa chuma gas na mafuta...halafu muone kama dunia haitatuheshimu..
Hapo spika wa bunge akiwa nani..🤔🤔🤔
 
Hapa kinashindikana nn?
 
tuache blah blah na kudeal na vitu rahisi rahisi..

tuna madini ya kila aina yametapakaa hapa, tuanze uwekezaji wa nguvu kwenye uchimbaji wa madini, uchimbaji wa chuma gas na mafuta...halafu muone kama dunia haitatuheshimu..
Kenya ndiye muuzaji mkubwa wa Tanzanite kuliko Tanzania, tuanzie hapo. Miaka ya hamsini mpaka sabini bidhaa za Kenya ndizo zilishika soko la Tanzania, na matangazo ya bidhaa za Kenya redioni yalikuwa sehemu ya burudani, hii ni kwa wale wasiolijua.
 
Tatizo la Tanzania ni Poor Customer Care/ Service
Hata ujenge hotel nzuri kiasi gani udokozi, wizi, kauli mbaya zinafukuza wateja.

Wakenya wako vizuri kwenye kumtafuta na kumtunza mteja
Hizo hotel zinaajiri cheap labour, professional labour hawezi kuwa kauli mbaya,udokozi au wizi.
 
Hizo hotel zinaajiri cheap labour, professional labour hawezi kuwa kauli mbaya,udokozi au wizi.
Acha visingizio, na wewe ni mmoja wao.
Kauli nzuri haipaswi kuwepo kisa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…