Marubani wetu wana local lisence.Au bado local routes zinalipa sana jamani?
Wewe ni sehemu ya kizazi cha hasara ilichowahi kujaaliwa taifa la Tanganyika. Kwa hizi policy abracadabra sahau hizo ndoto.Kama tunapata marais wenye Utashi wa kutaka kuitoa Tanzania hapa tulipo kama JPM, tunaweza kuwafikia na kuwazidi kenya. Kwanza ATC inatakiwa ianze kutamba hapa nyumbani na kwasasa tayari msuliwao unaonekana kama huamin waulize Fast Jet na Precition watakujibu.
Inachotakiwa waongeze juhudi apa ndani wakiweza kufika mikoa mingi zaidi ndio waongeze njia nje ya Tanzania najua kwasasa ATC wanakwenda Burundi na Commoro najua wanavuta kasi.
India malofa unapeleka ndege kufanya nini?Au mnataka kufunga Mloganzila?Kenya hatuwawezi .Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
Kama mimi ni hasara basi ,wewe ni faida kama Taifa halija pata hasara kwakua wewe ni sehemu ya Faida katika Taifa.Maisha yanaendelea.Wewe ni sehemu ya kizazi cha hasara ilichowahi kujaaliwa taifa la Tanganyika. Kwa hizi policy abracadabra sahau hizo ndoto.
Ndege moja kelele kibao.Ethiopia wanazo kibao wala husikii kelele.Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
Hao wakenya unaowapigia debe leo KLM akigoma hizo ndege zinasimama sijui unalijua hilo? hapa nchini kuna wahindi wengi sana nikuambie basi na wafanya biashara pia na wanaendesha viwanda kwa sehemu kubwa tu. pole kwani tuende Malekani kufanya nini?India malofa unapeleka ndege kufanya nini?Au mnataka kufunga Mloganzila?Kenya hatuwawezi .
Muhimu tuna chetu na ya 2 inakuja MwakaniNdege moja kelele kibao.Ethiopia wanazo kibao wala husikii kelele.
Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
Hao wakenya unaowapigia debe leo KLM akigoma hizo ndege zinasimama sijui unalijua hilo? hapa nchini kuna wahindi wengi sana nikuambie basi na wafanya biashara pia na wanaendesha viwanda kwa sehemu kubwa tu. pole kwani tuende Malekani kufanya nini?
Sasa ukinifuatilia mimi na wewe utadumaa ki fikra.Watu kama nyinyi ndio mnalifanya taifa kuzidi kudumaaa