Kenya wameweza, sisi lini?

Kenya wameweza, sisi lini?

Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
 
Kama tunapata marais wenye Utashi wa kutaka kuitoa Tanzania hapa tulipo kama JPM, tunaweza kuwafikia na kuwazidi kenya. Kwanza ATC inatakiwa ianze kutamba hapa nyumbani na kwasasa tayari msuliwao unaonekana kama huamin waulize Fast Jet na Precition watakujibu.

Inachotakiwa waongeze juhudi apa ndani wakiweza kufika mikoa mingi zaidi ndio waongeze njia nje ya Tanzania najua kwasasa ATC wanakwenda Burundi na Commoro najua wanavuta kasi.
Wewe ni sehemu ya kizazi cha hasara ilichowahi kujaaliwa taifa la Tanganyika. Kwa hizi policy abracadabra sahau hizo ndoto.
 
Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
India malofa unapeleka ndege kufanya nini?Au mnataka kufunga Mloganzila?Kenya hatuwawezi .
 
Ndege moja kelele kibao.Ethiopia wanazo kibao wala husikii kelele.
 
India malofa unapeleka ndege kufanya nini?Au mnataka kufunga Mloganzila?Kenya hatuwawezi .
Hao wakenya unaowapigia debe leo KLM akigoma hizo ndege zinasimama sijui unalijua hilo? hapa nchini kuna wahindi wengi sana nikuambie basi na wafanya biashara pia na wanaendesha viwanda kwa sehemu kubwa tu. pole kwani tuende Malekani kufanya nini?
 
Mnaogopa kitu gani huko USA?
Ndani ya Mwezi wa 11 Boieng 787-8 mali ya Tanzania itaanza kwenda India na China, Si Lazima kuipeleka USA, muhimu tunaangalia wapi tutafanya biashara. Hakuna Air Tanzania inayoenda Kenya wala Fastjet haendi Kenya nafikiri sababu unazijua.
 
Watu kama nyinyi ndio mnalifanya taifa kuzidi kudumaaa
Kama mimi ni hasara basi ,wewe ni faida kama Taifa halija pata hasara kwakua wewe ni sehemu ya Faida katika Taifa.Maisha yanaendelea.
 
Wacha kudanganya wewe hamna lolote kwa Kenya zaidi ya fitina na majungu

Back
Top Bottom